Kunani mkuu?Naelewa kuna kikosi kazi cha abdul ambacho kinasubiri taarifa kisha kufikisha kwa mama yake.
Siwapi hii code na mnaofahamu hakuna kueleza.View attachment 3521659
Jamaa hakuamini dereva wake alivyomtoroka usiku wa manane pindi tu alipotumbuliwa uwaziri.Naelewa kuna kikosi kazi cha abdul ambacho kinasubiri taarifa kisha kufikisha kwa mama yake.
Siwapi hii code na mnaofahamu hakuna kueleza.View attachment 3521659
Wewe umeifunga mada kwa kuelewa uhalisia wa picha na kuitafsiri.Nchi kama puzzle limesambaratika beyond repair