Kuna uhusiano wowote wa Waziri Jafo kuwa mwislamu na hasira kali aliyopata hadi kumsimamisha mtumishi mlevi kazi?

Watumiaji wa Jamii forum wamekuwa wakijinadi ni magreat thinkers ila kwa izo mada na comment nnazosoma hapo wengi wanamapungufu ya akili.
Unaandika uzi.wa kuchokonoa ua unacomment ujinga ili ujibiwe na upate reply uo muda si ungepost biashara upate hela kuliko upost dhihaka upate matusi ujione umegusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee hapa tunajadili mambo muhimu sana kwa jamii, Dini..We unafikiri kila mtu kuingiza hela ni lazima apost Jamiiforums? Au afanye kazi kila saa?

Watumiaji wa Jamii forum wamekuwa wakijinadi ni magreat thinkers ila kwa izo mada na comment nnazosoma hapo wengi wanamapungufu ya akili.
Unaandika uzi.wa kuchokonoa ua unacomment ujinga ili ujibiwe na upate reply uo muda si ungepost biashara upate hela kuliko upost dhihaka upate matusi ujione umegusa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee nimeshangaa sana eti yule aliyechana Quran kukamatwa kisa eti ameleta uchochezi wa kidini

Kwamba angeamsha hasira za Waislam na wangeweza kuchoma makanisa na kusababisha vurugu kubwa

Yaani hapa wanamaanisha Waislam ni watu wasioweza kupuuza jambo kama hilo, na ni watu wanaoongozwa na mihemko na hasira bila kufikiri, haya ni matusi makubwa sana

Yaani Waislam hawezi kumpuuza chizi mmoja aliyechana kitabu chao? Yaani wangeleta vurugu kwa watu wasiohusika kisa kitendo cha chizi mmoja?

Hii ina tofauti gani na kuhalisha hii dhana potofu kuwa Uislam ni dini ya vurugu na kuwa Waislam wanajilipua kutetea imani yao?

Waislam hawaetereki na kitu kama hiki, so kudhani wangeleta vurugu ni matusi kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini ukweli uko hivyo! Madrasa wanafundishwa hivyo na it sticks indefinitely!
 
Kwakua ni kurani anaonekana amefanya kosa ila ingekua biblia ata waziri angeona angelipuzilia mbali.na itokee alie mpa huo wazifa amtoe kwa alcho fanya tutashuhudia wafia dini wakijikata na mapanga usoni na kujilipua
 
Alichofanya Waziri sio sahihi,kwa kuwa kuchana Qur'an hakuna uhusiano wowote na kazi ya mhusika.Alichofanya Waziri ni purely hisia binafsi ambazo zimekuwa ignited na uislam wake,kitu ambacho si sahihi.Sio siri kwamba waislam wanapata hasira za kupindukia dini au mtume wao anapokashfiwa kwa njia yeyote ile.Zipo nguvu "hasi" nyuma ya hasira hizo.
Hatuwezi kuwa na mtumishi wa umma wa namna ile... Utumishi wa umma ni kioo cha serikali! Hapo ndipo alilosimamia waziri...
 
Nabii Tito alivyokamatwa hatukuona mada hizi watu walipongeza jeshi la polisi maana walikuwa wanaomba sana polisi ichukuwe hatua hawakusema wampuuze.
 
Nabii Tito alivyokamatwa hatukuona mada hizi watu walipongeza jeshi la polisi maana walikuwa wanaomba sana polisi ichukuwe hatua hawakusema wampuuze.
Wakristu wanadhihirisha kuwa hawajielewi na kuna kitu wanakitafuta.! Watakipata
 
Hiyo ni tafsiri yako kwamba vurugu zingetokea kwa sababu waislam wanaongozwa na hasira. Wengine wanaweza kutafsiri kuwa vurugu zingetokea kwa sababu waislam wanaongozwa na mapenzi makubwa kwa dini yao, kitabu chao na Muumba wao.
 
Sijawahi kusikia muislamu kachana biblia ila mara zote tunasikia mkristo kuchana Qur'an ila bado unaambiwa et waislamu wakorofi!!!
Wakichana shika jembe ukalime,maana wakileta fujo watajikuta pabaya.Tuvumiliane Tu hapa duniani
 
Back
Top Bottom