Kuna uhusiano gani kati ya vitambi na ndoa?

Kuna uhusiano gani kati ya vitambi na ndoa?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Hivi kuna siri gani katika ndoa, mara nyingi watu wakishaingia katika ndoa wanatoka vitambi vya ajabu ajabu?

Sababu ni ipi labda?
FB_IMG_16492307810734210.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu sijui ni nini maana huu ni ukweli [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie hata sielewi, sababu hata mimi siku hizi ki deep freezer kinajitokeza.[emoji23]

Huenda sababu nimeacha kucheza soka, huenda sababu siku hizi nakula misosi ya nguvu na kwa wakati, ila watu wakiniona wananiambia ndoa haiongopi.[emoji23]
Nipo katika mpango wa kuanza tizi nikifute hikisasa sijui watasema ndoa yangu imeanza mikikimiki[emoji23]

Ndoa haileti kitambi ila kuna kahali fulani hivi kakunawiri na kung'a kama ukibahatika kupata mke, mkeo. Ila mambi yakibuma lazima ufubae. [emoji23]
 
Bila ya shaka itakuwa matunzo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HEBU WAZA UKO KWENYE MIHANGAIKO YAKO ILA UNAJUA TU NIKIRUDI HOME NAIKUTA INANISUBIRI YA BUUURE, MUDA WOWOTE NA NZURI ZAIDI NAKESHA NAYO, KWANINI KITAMBI KISITOKE???? 😂😂😂
 
[emoji3061] Kuna sababu ya maana basi! Ni msosi tu. Ukiamka unakuta meza ishachafuka, ukikaa kidogo meza ishachafuka, ukiende chooni ukirudi unakuta meza ishachafuka, ukikataa kula unaambiwa umetokea kula kwa Malaya zako, basi kuepuka lawama unajikuta umekula umekua na kitambi
 
Back
Top Bottom