Kuna uhusiano gani kati ya supu na pombe?

Pombe ni moja ya kichwaji kinacho sababisha mnywaji kukojoa sana. Kitendo cha kukojoa sana hupunguza kiasi cha maji mwilini hivyo kufanya damu kuwa nzito na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko wake wa kawaida mwilini. Mnywaji wa bia mathalani anaweza kunywa bia moja halafu akakojoa kiasi cha chupa mbili za mkojo. Hivyo kadiri unavyokunywa ndivyo utakavyo kojoa zaidi hivyo kupunguza kiasi cha maji mwilini. Ukienda sehemu za pombe hasa baa utakuta wanywaji wenakojoa zaidi kuliko wanavyojisaidia haja kubwa. Yaani kwa ufupi baa zinaweza hata zisiwe na vyoo zikawa na sehemu ya kukojolea tu na kukawa hakuna tatizo.

Hali hii ya kukojoa sana ambayo hupunguza kiasi cha maji mwilini ndiyo husababisha mnywaji kuamka asubuhi akiwa mchovu sana hali ambayo huwa tumezoea kuiita "Hang Over" ambapo wengine hujisikia kama kichwa kuuma au kuwa kizito. Hii ni kwasabu mzunguko wa damu kwenda kichwani huwa mdogo kutokana na mzunguko mdogo wa damu unaosababishwa na upungufu wa maji mwilini. Sasa ili kumfanya mtu achangamke na kurudisha nguvu ndio utagundua wanywaji wengi hukimbilia supu ya kongoro au mchemsho ili kurudisha haraka maji mwilini kwani supu ina mafuta na maji ambayo hukaa mwilini na kuongeza nguvu hivyo kufanya damu kuwa nyepesi na kurudi katika kasi ya mzunguko wake wa kawaida. Vile vile utakuta wengi wanakunywa maji sana au soda kama pepsi ili kupata nguvu sababu soda zina sukari hivyo ni kama wanatumia badala ya Gluecos. Na kwakuwa wengi hunywa bila kula na wakisha kunywa hopoteza hamu ya chakula, hivyo wanakuwa hawana nguvu kutokana na njaa ndio maana utaona wanapoichapa supu asubuhi lazima huishushia kwa chapati ambazo huwa ndio mbadala wa chakula ambacho hawakula jana yake.

SIRI NYINGINE KUHUSU WANYWAJI: Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo ya kinywaji utagundua kuwa wanywaji wengi huwa hawaugui magonjwa mengi yatokanayo na maambukizo katika damu kama malaria. Hii ni kwasasabu wanapiga deki sana miili yao kwa kukojoa sana. Hivyo mara wakipata maambukizo huwa wanaflash out virusi vya magonjwa hayo kupitia kukojoa sana. Ndio maana kuna kitu kinaitwa Water Therapy. Yaani wewe ukijenga tabia ya kunywa maji sana mathalani lita tatu hadi tano kwa siku, unaweza kukuta unazuia na kuondoa magonjwa mengi mwilini magonjwa na watu wakashanga kuwa wewe una kinga ya magonjwa kama malaria. Hivyo wanywaji wa pombe wao bila kujua huwa wanafanya Water therapy kwa njia ya pombe. Hii ipo hadi kwenye magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende. Mtu aliyekunywa maji mengi au bia anaweza kutembea na mtu mwenye ugonjwa wa zinaa halafu asiambukizwe kwa sababu yeye baada ya mchezo huenda kukojoa sana hivyo kufash out wale wadudu wa ugonjwa. Ukiona ameambukizwa labda awe amepata mchubuko. Ndio maana unaweza kukuta mtu ametembea na mtu mwenye ukimwi na asiupate na mwingine akaupata na watu mtaani wakabaki kushangaa. ONYO: Maelezo yangu haya yasikufanye uanze kunywa pombe wakati ulikuwa hunywi. Ila nakushauri kunywa maji kwa wingi kadiri uwezavyo ni tiba tosha.

Cc: Asprin kwa maboresho Pdidy kwa utunzaji wa kumbukumbu.
 
Last edited by a moderator:
walevi wanachekesha sana siku zote hua wanapenda kuambiwa vitu vizur tena vitokanavyo na unywaji,post hii imewafanya wajiskie raha sana ona wanavyopongeza maelezo ya tulimumu.mkuu umefungua geti walevi watajamiina hovyo wakiamni wakitegemea maelezo yako.

ONYO.pombe ni hatar kwa afya yako.
 
Ha ha haaaaa mkuu! Ngoja na mimi nikae nyumbani halafu wana JF muandamane kuja kuniomba nigombee. Msisahau kuja na hela ya kutosha ya fomu na kampeni

nilipoguswa zaidi ni pale ulipoanza kuongelea kuhusu kutoumwa malaria, nikawa nimekuelewa sana...hahahaa
 
hata mimi cjui ma UTI, malaria huwa nasikia tu kwa majirani nikijisikia homa nagonga castle lager au kili za kutosha asubuhi nawahi supu. niko fiti
 
Watu wengi wanaokunywa pombe huwa ni wapenzi wakubwa wa supu, mtu akilewa usiku lazima asubuhi ataamkia kunywa supu kabla hajanywa chai. Sasa kuna uhusiano gani kati ya supu na pombe? Tujuzane.

Walevi mpo??? Jibuni hili la huyu Mnyalukolo mla mbwa...!
 
Ukipiga supu yako na chapati mbili halafu unashushia na Pepsi, Coke au sprite ya bariiiiiiiiidi..........ukiona ka nafasi kanaruhusu unaenda kuzimua na chupa zako mbili mambo yanakaa level

Napita tu mwanajf...katika ubora wako...!
 
Pombe ni moja ya kichwaji kinacho sababisha mnywaji kukojoa sana. Kitendo cha kukojoa sana hupunguza kiasi cha maji mwilini hivyo kufanya damu kuwa nzito na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko wake wa kawaida mwilini. Mnywaji wa bia mathalani anaweza kunywa bia moja halafu akakojoa kiasi cha chupa mbili za mkojo. Hivyo kadiri unavyokunywa ndivyo utakavyo kojoa zaidi hivyo kupunguza kiasi cha maji mwilini. Ukienda sehemu za pombe hasa baa utakuta wanywaji wenakojoa zaidi kuliko wanavyojisaidia haja kubwa. Yaani kwa ufupi baa zinaweza hata zisiwe na vyoo zikawa na sehemu ya kukojolea tu na kukawa hakuna tatizo.

Hali hii ya kukojoa sana ambayo hupunguza kiasi cha maji mwilini ndiyo husababisha mnywaji kuamka asubuhi akiwa mchovu sana hali ambayo huwa tumezoea kuiita "Hang Over" ambapo wengine hujisikia kama kichwa kuuma au kuwa kizito. Hii ni kwasabu mzunguko wa damu kwenda kichwani huwa mdogo kutokana na mzunguko mdogo wa damu unaosababishwa na upungufu wa maji mwilini. Sasa ili kumfanya mtu achangamke na kurudisha nguvu ndio utagundua wanywaji wengi hukimbilia supu ya kongoro au mchemsho ili kurudisha haraka maji mwilini kwani supu ina mafuta na maji ambayo hukaa mwilini na kuongeza nguvu hivyo kufanya damu kuwa nyepesi na kurudi katika kasi ya mzunguko wake wa kawaida. Vile vile utakuta wengi wanakunywa maji sana au soda kama pepsi ili kupata nguvu sababu soda zina sukari hivyo ni kama wanatumia badala ya Gluecos. Na kwakuwa wengi hunywa bila kula na wakisha kunywa hopoteza hamu ya chakula, hivyo wanakuwa hawana nguvu kutokana na njaa ndio maana utaona wanapoichapa supu asubuhi lazima huishushia kwa chapati ambazo huwa ndio mbadala wa chakula ambacho hawakula jana yake.

SIRI NYINGINE KUHUSU WANYWAJI: Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo ya kinywaji utagundua kuwa wanywaji wengi huwa hawaugui magonjwa mengi yatokanayo na maambukizo katika damu kama malaria. Hii ni kwasasabu wanapiga deki sana miili yao kwa kukojoa sana. Hivyo mara wakipata maambukizo huwa wanaflash out virusi vya magonjwa hayo kupitia kukojoa sana. Ndio maana kuna kitu kinaitwa Water Therapy. Yaani wewe ukijenga tabia ya kunywa maji sana mathalani lita tatu hadi tano kwa siku, unaweza kukuta unazuia na kuondoa magonjwa mengi mwilini magonjwa na watu wakashanga kuwa wewe una kinga ya magonjwa kama malaria. Hivyo wanywaji wa pombe wao bila kujua huwa wanafanya Water therapy kwa njia ya pombe. Hii ipo hadi kwenye magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende. Mtu aliyekunywa maji mengi au bia anaweza kutembea na mtu mwenye ugonjwa wa zinaa halafu asiambukizwe kwa sababu yeye baada ya mchezo huenda kukojoa sana hivyo kufash out wale wadudu wa ugonjwa. Ukiona ameambukizwa labda awe amepata mchubuko. Ndio maana unaweza kukuta mtu ametembea na mtu mwenye ukimwi na asiupate na mwingine akaupata na watu mtaani wakabaki kushangaa. ONYO: Maelezo yangu haya yasikufanye uanze kunywa pombe wakati ulikuwa hunywi. Ila nakushauri kunywa maji kwa wingi kadiri uwezavyo ni tiba tosha.

Clear and loud, umeeleweka mkuu
 
Tulimumu hebu tueleze ni kwa nini nikinywa soda nusu lita nitakojoa mara chache sana kulinganisha na yule aliyekunywa bia nusu liter Au pia mtu akinywa maji nusu lita anakojoa mara chache sana ukilinganisha na yule aliyekunywa maji nusu lita?

Inawezekana bia kuwa na sumu nyingi zaidi ambayo haihitajiki mwilini kulinganisha na yule aliyekunywa maji?
 
Watu wengi wanaokunywa pombe huwa ni wapenzi wakubwa wa supu, mtu akilewa usiku lazima asubuhi ataamkia kunywa supu kabla hajanywa chai. Sasa kuna uhusiano gani kati ya supu na pombe? Tujuzane.

Mara nyingi watu wanaokunywa pombe sana,chakula wanakula kidogo,kwa asb chakula cha fasta ni supu.Wengine hata ugali.Kwa vyovyote mnywaji/mlevi anaamka na njaa,kwa hiyo supu inapatikana kwa urahisi na inanyweka/inapita bila matatizo,actually ni mazoea tu
 
Pombe ni moja ya kichwaji kinacho sababisha mnywaji kukojoa sana. Kitendo cha kukojoa sana hupunguza kiasi cha maji mwilini hivyo kufanya damu kuwa nzito na hivyo kupunguza kasi ya mzunguko wake wa kawaida mwilini. Mnywaji wa bia mathalani anaweza kunywa bia moja halafu akakojoa kiasi cha chupa mbili za mkojo. Hivyo kadiri unavyokunywa ndivyo utakavyo kojoa zaidi hivyo kupunguza kiasi cha maji mwilini. Ukienda sehemu za pombe hasa baa utakuta wanywaji wenakojoa zaidi kuliko wanavyojisaidia haja kubwa. Yaani kwa ufupi baa zinaweza hata zisiwe na vyoo zikawa na sehemu ya kukojolea tu na kukawa hakuna tatizo.

Hali hii ya kukojoa sana ambayo hupunguza kiasi cha maji mwilini ndiyo husababisha mnywaji kuamka asubuhi akiwa mchovu sana hali ambayo huwa tumezoea kuiita "Hang Over" ambapo wengine hujisikia kama kichwa kuuma au kuwa kizito. Hii ni kwasabu mzunguko wa damu kwenda kichwani huwa mdogo kutokana na mzunguko mdogo wa damu unaosababishwa na upungufu wa maji mwilini. Sasa ili kumfanya mtu achangamke na kurudisha nguvu ndio utagundua wanywaji wengi hukimbilia supu ya kongoro au mchemsho ili kurudisha haraka maji mwilini kwani supu ina mafuta na maji ambayo hukaa mwilini na kuongeza nguvu hivyo kufanya damu kuwa nyepesi na kurudi katika kasi ya mzunguko wake wa kawaida. Vile vile utakuta wengi wanakunywa maji sana au soda kama pepsi ili kupata nguvu sababu soda zina sukari hivyo ni kama wanatumia badala ya Gluecos. Na kwakuwa wengi hunywa bila kula na wakisha kunywa hopoteza hamu ya chakula, hivyo wanakuwa hawana nguvu kutokana na njaa ndio maana utaona wanapoichapa supu asubuhi lazima huishushia kwa chapati ambazo huwa ndio mbadala wa chakula ambacho hawakula jana yake.

SIRI NYINGINE KUHUSU WANYWAJI: Kama wewe ni mfuatiliaji sana wa mambo ya kinywaji utagundua kuwa wanywaji wengi huwa hawaugui magonjwa mengi yatokanayo na maambukizo katika damu kama malaria. Hii ni kwasasabu wanapiga deki sana miili yao kwa kukojoa sana. Hivyo mara wakipata maambukizo huwa wanaflash out virusi vya magonjwa hayo kupitia kukojoa sana. Ndio maana kuna kitu kinaitwa Water Therapy. Yaani wewe ukijenga tabia ya kunywa maji sana mathalani lita tatu hadi tano kwa siku, unaweza kukuta unazuia na kuondoa magonjwa mengi mwilini magonjwa na watu wakashanga kuwa wewe una kinga ya magonjwa kama malaria. Hivyo wanywaji wa pombe wao bila kujua huwa wanafanya Water therapy kwa njia ya pombe. Hii ipo hadi kwenye magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende. Mtu aliyekunywa maji mengi au bia anaweza kutembea na mtu mwenye ugonjwa wa zinaa halafu asiambukizwe kwa sababu yeye baada ya mchezo huenda kukojoa sana hivyo kufash out wale wadudu wa ugonjwa. Ukiona ameambukizwa labda awe amepata mchubuko. Ndio maana unaweza kukuta mtu ametembea na mtu mwenye ukimwi na asiupate na mwingine akaupata na watu mtaani wakabaki kushangaa. ONYO: Maelezo yangu haya yasikufanye uanze kunywa pombe wakati ulikuwa hunywi. Ila nakushauri kunywa maji kwa wingi kadiri uwezavyo ni tiba tosha.

Dah mkuu sina cha kukupa zaidi ya like,maana umemiminika vizuri kama Safari Lager ya bariiidi, Shukrani sana mkuu
 
Back
Top Bottom