Kuna uhusiano gani Kati ya mapenzi na mazoezi??

Kuna uhusiano gani Kati ya mapenzi na mazoezi??

Hilo tendo lenyewe mazoezi tosha has a likifanyika ipasavyo
Siyo tu ipaswavyo,bali likifanywa kwa jazba ya dhuluma, kunyanyaswa ama kudanganywa mara kwa mara kwa mwanaume.
Kisirani, vinyongo na visirani huweza kutengeneza nguvu ya kuweza kunyanyulia tembo kwa mkono mmoja.
 
Kuna papuchi zingine ni za moto moto aisee hizo mzee wa kazi akisimama dakika kadhaa tu chalii...sio hizi za mdebwedo..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe eeeh
 
Unakijua kichocheo kinaitwa testosterone,kwa wanaume?

Hiki ndo kichocheo kinachokupa hali ya uanaume,yaan misul,saut,ndevu.n.k,..so ikiwa nying ndo hvo unakua masculine,ikiwa kidogo ni tatzo,unakua legelege kama dem.
Lakin kichocheo hik hata kama kikiwepo.kinakua hakifany kaz vzur kwnye mafuta meng,so ukipunguza mafuta bas kichocheo hko kinafanya kaz vzur

So point ni kupunguza mafuta mwili,so ni njia gan ya kupunguza mafuta mwilin,..?
Kama una njia nyingne mbal na mazoez ni bora pia..ila weng wanatumia mazoez...

Same applies kwa wanawake na kichocheo chao kinaitwa estrogen,
 
Kwa 95% mazoez husaidia kwa kiasi kikubwa uume kuwa na nguvu na kuchelewa kukojoa.

Mtu wa mazoezi hasa ya kukimbia na tumbo akipata dem mvivu huyo dem hawezi rudia round ya pili.

Hii kwa experience yangu.

Asilimia kubwa ya wanao lalamika hawana nguvu huwa hawafanyi mazoezi.
 
Back
Top Bottom