Mashaurijr
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 889
- 1,368
Siku ya leo ni balaa . Vichwa vingi vinawaza uzinifu tu. Bora hata uwe busy ukiwa jobless ni kama unabeba na upwiru wa wenzako unakutesa kinoma kisha huna hata buku tatu ukachungulie mitaa ile .
Kwa hali hii Wazee wa kataa ndoa inabidi tunajaribu kupiga tathmini hali hii, majibu tutatoa baada ya mwezi mmoja kuwa tutaunga juhudi au mapambano yaendelee.
Kwa hali hii Wazee wa kataa ndoa inabidi tunajaribu kupiga tathmini hali hii, majibu tutatoa baada ya mwezi mmoja kuwa tutaunga juhudi au mapambano yaendelee.