Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.

Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.
Mkuu

TPB wanalinda JWTZ ni kweli ?
 
Nachojua askari aliye kwenye vazi la jeshi akiwa amevaa kofia nyekundu anaruhusiwa kuua kwa silaha na hawezi kufunguliwa mashitaka
Uulize kwanza,maana inawezekana ukawa unajua ujinga au uongo!hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania hii!Police force and Auxiliary services Act Cap 322 haijazungumzia hilo,hamna regulation yoyote inayosema suala lako!acha kupotosha umma!humu hatutaki ndoto wala kubashiri,tunaongea with AUTHORITY
 
Nimeupenda tu huu mtiririko....

Imebeba kitu kikubwa nyuma yake
Hebu Dadavua Kidogo Unaonekana Unajua Mengi Na Umebobea Mno Kama Si Sana.

Uulize kwanza,maana inawezekana ukawa unajua ujinga au uongo!hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania hii!Police force and Auxiliary services Act Cap 322 haijazungumzia hilo,hamna regulation yoyote inayosema suala lako!acha kupotosha umma!humu hatutaki ndoto wala kubashiri,tunaongea with AUTHORITY
 
Kuna afande mmoja ni ffu huwa analinda BOT na muda mwingine huwa analinda crdb,, alinambia wakiwa BOT huwa wanapewa 15,000 per day afu wakiwa crdb wanapewa 10,000 per day,, akaniambia bank ndio inakuwa responsible kwa hayo malipo,, may be bank nyingne zina avoid cost kama hizo,, mtazamo wangu
Sisi huku ffu uwalipa 70,000 kwa wiki nje ya mishahara yao ambayo ulipwa na muajiri wao. Benki nyingine zinajaribu kuokoa matumizi matokeo yake ndo hayo matukio ya kuvamiwa.
 
Nyinyi benki gani?
 
Uulize kwanza,maana inawezekana ukawa unajua ujinga au uongo!hakuna kitu kama hicho kwa Tanzania hii!Police force and Auxiliary services Act Cap 322 haijazungumzia hilo,hamna regulation yoyote inayosema suala lako!acha kupotosha umma!humu hatutaki ndoto wala kubashiri,tunaongea with AUTHORITY
Asante kwa kutuweka sawa dhidi ya wapotoshaji
 
Back
Top Bottom