Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Mimi bank yangu inalindwa na damu ya Yesu.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Sawa naijua ....hata tellers hakuna ....unaenda counter unabeba mwenyewe kile tu unachohitaji .......:cool2:
 
Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.

Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.
quote_icon.png
By Mtanzanika
Labda ni sera ya CRDB...ulinzi madhubuti kwao ni FFU na sio security companies.

Benk znaingia mkataba na ffu kuwalinda na gharama za ffu n kubwa ndo maana benk zengne znalindwa na campuny bnafs za ulinzi

CRDB wana contract na G4S kwa ajili ya Cash In Transit, Secuirty Group (kama sijakosea) kwa ajili ya ulinzi wa benki. uwepo wa FFU ni agizo la jeshi la polisi baada ya wizi kwenye mabenki kukithiri. benki zilikataa huo mpango kwa kuwa askari hao walikuwa wanataka posho. lakini jeshi la polisi likasisitiza kuwa ulinzi ni lazima.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...olisi-hatma-ya-makampuni-binafsi-ikoje-2.html
 
Kuna afande mmoja ni ffu huwa analinda BOT na muda mwingine huwa analinda crdb,, alinambia wakiwa BOT huwa wanapewa 15,000 per day afu wakiwa crdb wanapewa 10,000 per day,, akaniambia bank ndio inakuwa responsible kwa hayo malipo,, may be bank nyingne zina avoid cost kama hizo,, mtazamo wangu
 
Ukiondoa doria na wakati wa kutuliza ghasia Askari wa FFU wanabaki kuwa kikosi cha akiba. Hao GD-General Duty majukumu yao ni mengi kwa siku kutokana na uhalifu ndiyo maana wanapunguziwa kazi ya kukaa rindo. Hapo sasa haijalishi ni kwa CRDB kwa mkuu wa Mkoa au Strong rooms za Mitihani ya Taifa. Nimefuatilia na huo ndo ufahamu wangu. Ongezeeni ya kwenu pia.
 
  • Thanks
Reactions: y-n

umeeleweka mkuu
 
Kuna afande mmoja ni ffu huwa analinda BOT na muda mwingine huwa analinda crdb,, alinambia wakiwa BOT huwa wanapewa 15,000 per day afu wakiwa crdb wanapewa 10,000 per day,, akaniambia bank ndio inakuwa responsible kwa hayo malipo,, may be bank nyingne zina avoid cost kama hizo,, mtazamo wangu

alaa kumbe, nimepata kitu hapo
 
Ni mkataba maalum wa bain ya jeshi la polis na bank.
 
Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.

Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.
Nadhani wanawapenda kwasababu FFU wanavuta bangi
 
FFU wanalinda almost bank zote,na posho ya 10,000 per day
 
CRDB wana contract na G4S kwa ajili ya Cash In Transit, Secuirty Group (kama sijakosea) kwa ajili ya ulinzi wa benki. uwepo wa FFU ni agizo la jeshi la polisi baada ya wizi kwenye mabenki kukithiri. benki zilikataa huo mpango kwa kuwa askari hao walikuwa wanataka posho. lakini jeshi la polisi likasisitiza kuwa ulinzi ni lazima.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...olisi-hatma-ya-makampuni-binafsi-ikoje-2.html

G4S ana contract na NBC, cash in transit crdb ni tender ya security group
 
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU (hata waandishi wanajichanganya sana) ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu (ingawa inaweza tokea kwenye mazingira flani kuvaa kofia nyeusi) ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......

Ufafanuzi mzuri sana, asante mkuu
 
Katika kupunguza matukio ya uhalifu serikali ilipendekeza pamoja na kuwa askari wakukodisha mfn(kk.security) nilazima kuwe na askari wa jeshi la polisi ili kuimarisha ulinzi zaidi mkuu
 
Nachojua askari aliye kwenye vazi la jeshi akiwa amevaa kofia nyekundu anaruhusiwa kuua kwa silaha na hawezi kufunguliwa mashitaka
 
Hebu Dadavua Kidogo Unaonekana Unajua Mengi Na Umebobea Mno Kama Si Sana.
 
Back
Top Bottom