Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Kuna uhusiano gani kati ya CRDB na FFU?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,451
Reaction score
9,967
Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.

Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.
 
Benki zote zinalindwa na ffu ispokuwa wilayani na vijijini ambako hakuna kambi ya ffu ndo wanalinda askar wa kawaida
 
Benk znaingia mkataba na ffu kuwalinda na gharama za ffu n kubwa ndo maana benk zengne znalindwa na campuny bnafs za ulinzi
 
FFU ni jeshi la dharura, hivyo wao wanapatikana kirahisi ukilinganisha na polisi wa kawaida

sasa kwanini walinde Crdb karibu matawi yote wao, wakati benki nyingine hulinda askari wa kawaida?
 
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU (hata waandishi wanajichanganya sana) ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu (ingawa inaweza tokea kwenye mazingira flani kuvaa kofia nyeusi) ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......




 
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......

mkuu Mimi nimekusoma vizuri...
 
Nimetembea mikoa mingi hapa Tanzania bara, kila ninapokuta benki ya Crdb basi lazima askari wa FFU ndio ambao wapo lindo tofauti benki nyingine unakuta askari wa kawaida ndio wapo lindo.

Mwenye kujua aje atujuze kwanini iko hivyo , karibuni wanajamvi.

bnk nyingi zmeingia mkataba na jeshi la polis ili kulinda hizo benk. Benk nyngi huulindwa na ffu kwasababu FFu mda mwingi wanakuwa standby yaan hawana kaz nyingi ukilinganisha na askar wa kawaida. Askar wa kawaida anakaz nyingi sana anatakiwa akae CRO,mahakaman, akae masijara, akae upelelez mdogo, aende out post au vituo vidogo vya nje. Wakat huo huo ashirikiane na trafic barabaran, sometime hata kukitokea vurugu anaenda kuungana na FFU. Ndio maana ffu wanalinda ili kuwasaidia. Vilevile sio benk zote hulindwa ffu kunazngne za crdb znalindwa na askar wa kawaida.
 
Benki zingine ni ubahili tu .......lakini CRDB hata wilayani zinalindwa na askari wa FFU .....majambazi kuvamia askari wa FFU huwa ni ktk mazingira ya kujipanga kweli kweli tofauti na askari wa kawaida ......lakini pia si kila askari mwenye mavazi yanayofanana na FFU ni FFU (hata waandishi wanajichanganya sana) ....askari wa FFU wanatumia kofia nyekundu (ingawa inatokea kwenye mazingira flani kuvaa kofia nyeusi) ......hawa wa doria wanatumia kofia nyeusi .......





benk yoyote inayolindwa na askar polis huwa ni mara chache sana kuvamiwa na majambaz.
Hizi znazolindwa na security ndio huvamiwa sana
 
hyo ni mgawanyo tu kulingana na kamanda wa mkoa anavyoamua kugawa majukum kwa askar wake. Lakn hakuna sheria inayo chagua nani alinde na nani asilinde
 
Back
Top Bottom