Kuna ubaya kupishana miaka 10??

Age are'nt nothing but number..la msingi hapo kaka nakushauri angalia tabia na mapenzi ya dhati wanawake wa siku hizi ni hatari usipokua makini utarudi jamvini apa kuomba ushauri tena.
 
Hivi mpenzi na mume/mke ni vitu viwili tofauti eeh.. Manake wamama wanamiliki viserengeti boyz na wababa wanamiliki vibrainkokashen..
 
wifi yenu kanizidi miaka 11 , she is still cute, nakula mzigo kama kawa , tunaishi freshi ,
 
Unategemea wewe Ina umri gani kwanza, but if she is under 25 and you are 35 kunaweza kusiwe na shida, ila Jiandae kumlea na uwe muungwAna, tena Kama umepiga vidato na yeye bado, Jiandae tu kuwa tayari kuwa na misimamo tofauti na namna mnayojudge mambo, kwa mtaAmo wangu, 5 years difference Is max

QUOTE=MARCKO;3720299]Wataalamu naombeni mnijuze! Eti nikiwa(mimi ni mwanaume) napishana na mpenzi wangu miaka kumi ni mbaya?
[/QUOTE]
hata 20 au 25 hakuna ubaya . chamsingi mtu wako awe muelewa na hali yako otherwise kama hakuna mawasiliano atakuponda sana
 
hata mpishane miaka 20 au 25 hakuna ubaya . chamsingi mtu wako awe muelewa na hali yako otherwise kama hakuna mawasiliano atakuponda sana
 
Unategemea wewe Ina umri gani kwanza, but if she is under 25 and you are 35 kunaweza kusiwe na shida, ila Jiandae kumlea na uwe muungwAna, tena Kama umepiga vidato na yeye bado, Jiandae tu kuwa tayari kuwa na misimamo tofauti na namna mnayojudge mambo, kwa mtaAmo wangu, 5 years difference Is max

Experience ya wengi imeonyesha kuwa tofauti ya miaka 10 mpaka 15 hapa mwanzoni huwa hakuna shida. Lakini baadae kama miaka 15 na kuendelea, yule aliye mdogo anaanza kumchoka au kumwona mwenzake ni mzee sana kwake. Wengine wenye bahati miaka inakuwa just numbers hazisumbui.
 
Umeona eeh. Watu wanaangalia karibu. Tofauti ya umri = tofauti ya hobby; life lazima iwe boring ukiwa na mtu ambaye mnachoendana ni sex tuuuu. Good husband/ wife ni yule unayeweza kumuona kama rafiki si sex partner peke yake.

Unategemea wewe Ina umri gani kwanza, but if she is under 25 and you are 35 kunaweza kusiwe na shida, ila Jiandae kumlea na uwe muungwAna, tena Kama umepiga vidato na yeye bado, Jiandae tu kuwa tayari kuwa na misimamo tofauti na namna mnayojudge mambo, kwa mtaAmo wangu, 5 years difference Is max

Experience ya wengi imeonyesha kuwa tofauti ya miaka 10 mpaka 15 hapa mwanzoni huwa hakuna shida. Lakini baadae kama miaka 15 na kuendelea, yule aliye mdogo anaanza kumchoka au kumwona mwenzake ni mzee sana kwake. Wengine wenye bahati miaka inakuwa just numbers hazisumbui.
 
Age are'nt nothing but number..la msingi hapo kaka nakushauri angalia tabia na mapenzi ya dhati wanawake wa siku hizi ni hatari usipokua makini utarudi jamvini apa kuomba ushauri tena.

Inatasho NUKUTA

Haina shida,cha muhimu ni mapenzi ya kweli,nyote muwe na furaha.
attachment.php
 
Back
Top Bottom