Kuna ubaya kupishana miaka 10??

Nilidhani bidada ndo anakuzidi miaka kumi, hakuna shida mkaka go... on, ni kawaida kabisa mwanaume kumzidi umri mwanamke
 
Umri ni Namba Tu, Heshma , Maelewano na Mapenzi ya kweli kati yenu ndio jambo la msingi
 
Mimi naona bora mpishane miaka mitatu au mitano kama mke wa kwanza.

Mke wa pili hata mkipishana miaka 10 au 20 hakuna shida.
 
Hakuna ubaya wowote.
source:
Mandela Vs Graca
Malecela Vs Anne Kilango
Dr. Slaa Vs Josephine Mushumbusi

Wangetudhibitishia hawa kama kweli haina ubaya sio mnasema tu kwavile mnawaona, wenye experience ndio watuambie
 
Back
Top Bottom