Nilijuwa unaleta video kumbe umeleta hizi takataka za kuokota mitandaoni?Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Macho Yako hayako sawa utakuwa na makengeza wewe!Lile la jana kwenye game ya Yanga na Mamelodi ukiweka mahaba pembeni sio goli...ila watu wanaangepaste katika angel ambayo unaliona goli ila ule mpira haukuvuka mstari wote aslimia mia...ila mashabaki wamepata kichaka chao....nakumbuka hata kombe la dunia 2022 game ya spain na China utata kama huo ulikuwepo.
Acha ubishi ndugu yangu.Michuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Ficha unaziMichuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata

Itoshe kusema huna akili!Lile la jana kwenye game ya Yanga na Mamelodi ukiweka mahaba pembeni sio goli...ila watu wanaangepaste katika angel ambayo unaliona goli ila ule mpira haukuvuka mstari wote aslimia mia...ila mashabaki wamepata kichaka chao....nakumbuka hata kombe la dunia 2022 game ya spain na China utata kama huo ulikuwepo.
Nasubiri ajibu hili swali kwa usahihi. Aeleze ni kwa nini faulo ya Lomalisa, mwamuzi aliamua kujiridhisha kuitazama tea kwenye VAR ya uwanjani! Halafu kwa goli lenye utata kama lile la Aziz Kii, aliamua kupuuza.Kilichomshinda refa kwenda kureview VAR ni kitu gani?
Vyura wamechafukwa utaambulia matusi ya mwilini mkuuMichuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata
CCL wanatumia VAR peke yake kusaidia kutoa maamuzi
Angalia Goal line technology ilivyotumika kwenye hii video fupi hapo chini
Utaona ni jinsi gani mpira unatakiwa uwe umeingia kwa asilimia 100 ili kuhesabika goli
So ukiangalia kwa haraka lile shuti lilikua ni kali sana kiasi kwamba unahitaji umakini kuchukua picha exactly pale mpira ulipo dunda na kurudi juu.
Ukichukua picha wakati mpira umekwisha dunda au kabla haujadunda ni lazima mpira utaonekana umevuka mstari kwa asilimia 100
Lakini ukichukua picha mpira unapodunda utaona uligusa mstari
Angalia picha hapo chini, moja mpira ulipodundia na nyingine ni mpira kabla au baada ya kudunda
Mwisho tujikumbushe kidogo kuhusu sheria inasemaje kuhusu mpira kuhesabika kuwa umeingia na kuwa goli.... ni lazima mpira wote uingie na sio asilimia 99.9.
Angalia picha za sheria za goli.
View attachment 2955740View attachment 2955741View attachment 2955743
Kama hukuweza kuona lile goli fanya uanze kuhudhuria clinic ya machoKuna watu wana wa pump. Wanazidi kuwa utopolo
Yani utadhani kama hakuna kilichotokea Cairo.
Labda Cairo Refer alikuwa fairYani utadhani kama hakuna kilichotokea Cairo.
Walishatolewa tangu Darisalama hata wenyewe wanajuwa hilo.Labda Cairo Refer alikuwa fair
We differ in thinking capacity and on handling thingsMichuano ya CCL hawatumii Goal line technology ambayo ingemaliza huu utata