Kuna tofauti gani kati ya nesi wa hospitali ya rufaa na hospitali ya wilaya au kituo cha afya? NHIF na Wizara ya Afya acheni ubaguzi

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
660
1,000
PRICE SCHEDULE FOR NHIF CERTIFIED HEALTH FACILITIES WITH EFFECT FROM 1ST JULY, 2020 LEVEL (III & IV) HOSPITAL (ZONAL AND NATIONAL REFERRAL LEVEL FACILITIES) ISO 9001:2015 CERTIFIED

Nimeona wizara ya afya kwa kushirikiana na NHIF wamepitisha kitita kwamba mama mjamzito akijifungulia hospitali ya rufaa NHIF italipa 100,000.Mama huyo akijifungulia hospitali ya wilaya NHIF italipa pungufu ya hiyo na kwa sasa inalipia 30,000.

Maswali yangu ni haya:

1.NESI wa rufaa ana nini cha ziada kumzidi nesi wa hospitali ya wilaya au kituo cha afya ikiwa wote wanavyeti sawa na uzoevu sawa?

2. Kwamba vifaa vya kuzalishia ni tofauti au ?
kwamba mishahara ni toauti au?

kwamba gharama za kumhudumia mama mjamzito kule hospitali ya wilaya au kitua cha afya ni ndogo kuliko za rufaa?

3.kwamba gharama ya maji na umeme ni tofauti katika ya hospitali ya rufaa na hospiatali ya wilaya au kituo cha afya?
4.Kwamba majengo,vitanda ,mashuka vina ubora tofauti?

Siyo kuzalisha tu bali hata huduma nyengine kwa mfano kujifungua kwa upasuaji.

Kwenye hospitali za rufaa wanakopokea madaktari wa mazoezi oparesheni za kujifungua asilimia kubwa zinafanywa na wanafunzi wa udaktari ( intern doctors) ambao wanajifunza bado lakini NHIF inaona ni sawa kumlipa 500,000 tofauti na daktari wa hospitali ya wilaya mweye uzoevu ambapo bima italipa 110,000 ?swali hapo linakuja kwamba vifaa vya kumfanyia upasuaji mama mjamzito kwenye hospitali ya wilaya,anesthesia machine,na vifaa vingine vitumikavyo wakati wa upasuaji ni tofauti na hospitali ya mkoa au ya rufaa?kwamba gharama ya maji au umeme nitofauti katika semu hizo mbili?

Gharama zilitakiwa kuwa standardized ili huduma bora itolewe kwa wote bila ya ukandamizaji kwa maana unampolipa mtoa huduma gharama ndogo wakati kwengine unalipa gharama kubwa kwa huduma hiyo hiyo ni ukandamizaji wa kuichumi ndiyo maana unakuta hospitali nyengine zinashindwa kujiendesha kwa sababu kipato nikidogo na huku serikali inakuazimisha kuajiri watu ambao unashindwa kuwalipa.kuna huduma nyengine siyo za kibingwa ambazo malipo yao yalitakiwa kufanana nchi nzima bila kuangalia ngazi ya kituo bali elimu ya mtoa huduma.mfano wa huduma hizo ni :normal SVD,kuosha vidonda,caesarian section,kulazwa ,kumuona daktari,nk.sijajua NHIF na wizara ya afya wanashindwa nini katika hili ikiwa gharama ya vipimo na madawa wameweka gharama sawa na hii imesaidia wananchi na watoa huduma kwa ujumla.

Wakati mwingine siyo kila kitu tuweke siasa

Leonardo Harold

Senior Member
May 13, 2019
135
250

Ngoja waje wenyeji wa haya masuala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom