Mkuu vyote vipo. Netbook haitumii DVD rom maana wanajua vitu vyote utapata online ndio mambo ya kwenda na wakati. battery inakaa up to 10hrs. maana processors zake "Atom" hazili sana moto wa betri. zina faa kwa kazi za online na nyingine ndogondogoNadhani inaitwa notebook na siyo netbook.
Netbooks ni smaller less powerful laptops.
Mnascreen!!!usikosee?Nadhani inaitwa notebook na siyo netbook.