Kuna tofauti gani kati ya laptop na netbook

Yoso

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
340
239
Naomba kujua tofauti ya kati laptop na netbook wadau wa JF
 
1. A laptop (also known as a notebook)http://en.wikipedia.org/wiki/Laptop#cite_note-0http://en.wikipedia.org/wiki/Laptop#cite_note-1 is a personal computer designed for mobile use.http://en.wikipedia.org/wiki/Laptop#cite_note-2http://en.wikipedia.org/wiki/Laptop#cite_note-3http://en.wikipedia.org/wiki/Laptop#cite_note-webopedia-4 A laptop integrates most of the typical components of a desktop computer, including a display, a keyboard, a pointing device (a touchpad, also known as a trackpad, and/or a pointing stick) and speakers into a single unit. A laptop is powered by mains electricity via an AC adapter, and can be used away from an outlet using a rechargeable battery. A laptop battery in new condition typically stores enough energy to run the laptop for three to five hours, depending on the computer usage, configuration and power management settings. When the laptop is plugged into the mains, the battery charges, whether or not the computer is running, with the exception of some laptops.
Laptop - Wikipedia, the free encyclopedia

2. Netbooks are a category of small, lightweight, and inexpensive laptop computers. At their inception in late 2007 - as smaller notebooks optimized for low weight and low costhttp://en.wikipedia.org/wiki/Netbook#cite_note-btwsj-0- netbooks omitted certain features (e.g., the optical drive), featured smaller screens and keyboards, and offered reduced specification and computing power. Over the course of their evolution, netbooks have ranged in size from below 5" screen diagonalhttp://en.wikipedia.org/wiki/Netbook#cite_note-1 to 12". A typical weight is 1 kg (2-3 pounds). Often significantly less expensive than other laptops.
Netbook - Wikipedia, the free encyclopedia

Info zaidi :
a) www.webopedia.com/TERM/L/laptop_computer.html
b) www.answers.yahoo.com/question/index?qid... - United States
c) www.wordnetweb.princeton.edu/perl/webwn
d) Computer Glossary, Computer Terms - Technology Definitions and Cheat Sheets from WhatIs.com - The Tech Dictionary and IT Encyclopedianetbook.html
 
Nadhani inaitwa notebook na siyo netbook.
Mkuu vyote vipo. Netbook haitumii DVD rom maana wanajua vitu vyote utapata online ndio mambo ya kwenda na wakati. battery inakaa up to 10hrs. maana processors zake "Atom" hazili sana moto wa betri. zina faa kwa kazi za online na nyingine ndogondogo
 
Inategemea mambo mengi but kimsingi hakuna tofauti.

Hakuna agreed standards kwamba labda

  • screen size ya netbook inishia wapi na ya laptop inaazia wapi
  • Uzito mkubwa wa netbook ni upi na uzito wa laptop nyepesi ni upi
  • maximum Battery life ya netbook ni ipi n laptop ni ipi
  • CPU
Kwa kuwa hakuna standard hakuna jibu sahihi au jibu lisilo sahihi

Kwa jibu jepesi unaweza kutumia screen size kuclassfy kama ni netbook au laptop . Kama screen inakuwa 12 inch au chini ya hapo unaweza kuuuita netbook.
 
Netbooks ni smaller less powerful laptops.

ukisema smaller and power powerful una maanisha nini. Unaweza kuwa specific

  • minimum or maximum size ya Netbook.
  • Minimum or Maximun CPU processing speed ya Netbook
May be haya majibu yanategemana muda/miaka. Tunaaambiwa technology inavyo advance difference kati

  • smartphone na netbook inapungugua.
  • difference ya /laptop na TV receiver inapungua
Unaweza kuapta tofauti ya au CPU kati ya netbook na Laptop ukirefer technology ya 1980 kwenda nyuma lakini kwa sasa hakuna tofauti kubwa.

Kuna laptop za sony ni lighter kuliko so referd to as netbook za Asus au Toshiba.Kuna netbook zinaweza kuwa na uwezo kuliko hata laptop.
 
kama mtazamaji alivyosema, standardization huwa ni issue sometimes. Lakini jibu rahisi ni kuwa Laptop nyingi screen zake huanzia around nchi 15. Kwa hiyo ndogo chini ya hapo kama nchi 12 ni Netbook
 
QUOTE=Sikonge;Hivyo tofauti ya Laptop na Netbook ni kama kusema Zanzibar ni Netbook na Tanzania ni Laptop huku Tanganyika ikiwa Notebook.

Duh! Hii inaitwaje? Political Computer Science au?
 
Kuku nikuku Jogoo jina.zote computer ni model kwenda na wakati kutokana na mahitaji ya mtu kwa wakati huona kama nipo ofisini siwezi kutumia note/netbook lazima uwe na desktop vilivyo baki nimobile.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom