Kuna tofauti gani kati ya KAZI na AJIRA?

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Habari wana JF?
Minimgeni ktk hili jukwaa naomba mnipoke kwa mikono miwili nami nijifunze na kuhabarika humu JF.
Hivi kuna tofauti gani kati ya haya maneno mawili "AJIRA(EMPLOYMENT)" na "KAZI(JOB)".
 
Ajira inatokana na neno Ujira... so hii lazima kuwe na makubaliano ya malipo, sio lazima malipo yawe ni fedha yanaweza kuwa katika mfumo mwingine.
wakati kazi (Job) inaweza isiwe na mlipo.. kwa mtazamo wangu..
 
Back
Top Bottom