Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!
I wonder why do you always think in reverse?
Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!
I wonder why do you always think in reverse?
Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii
SIO KWAMBA NI UONGOZI MZURI [HAPO KWENYE RED] BALI KWA SASA MUNGU AMEONA MATESO YA WATANZANIA - AMEAMUA KUWAWEKA WAZI NA KUWEKA WAZI UFISADI WOTE ULIOKUWA UKIFANYWA - WAMEAMUA KUUMBUANA WENYE KWA WENYEWE - YANGEWEKWA WAZI NA CHAMA CHOCHOTE CHA UPINZANI - INGESEMWA NI UPINZANI TU...........MAKELELEL............KUTAFUTA UMAARUFU ETC.
LAKINI SASA - WATAWEKANA WAZI - NA NDIO MAOMBI YA WATANZANIA WOTE ...................... HATIMAYE ...WATAJIWEKA PEMBENI NA WASAFI WAENDELEE - TUMECHOKA WATANZANIA NA KUIBIWA ..........KUNYANYASWA...........KUONEWA NA KUUPUZWA
.
ASANTE MUNGU KWA KUWA WEWE NI MWEMA - AMEN
All right, huyo Sita alipopewa huyo "Waziri Mkuu" alimfanyia nini? Aliongea naye au alifanya nini hasa? Tufafanulie tafadhali!Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm. The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.
Hata JF chit- chat sio mahali pake, thread kama hizi mahala pake muwafaka ni Trash folder.Mara nyingine Thread kama hizi mods wanazipeleka kule JF - Chi- Chat.
Hii mbona iko hapa?
Nawashangaa sana! wakati mnaona madudu ambayo yalijificha awamu zote, yanajitokeza katika awamu hji mnaona kuwa ni uongozi mbaya!
I wonder why do you always think in reverse?
Ni dhahiri kwamba uongozi mzuri na usiopenda ufisadi ndio unafichua madudu mpaka mnayaona yakifichuka leo hii.
Hayo ni matokeo mazuri Ya Elimu ya Uraia inayotolewa na CDM
Big Up Chadema
Wewe sijui unafikiri kwa kutumia nini!
Mnadanganywa kuwa Kufichuka kwa siri zote ni uamuzi wa JK. Yaani kikwete aamue kufichua siri ya EPA ambayo imemwingiza yeye IKULU? Na siyo juhudi za Dr?
Lowasa afichue siri ya Richmonnd immuumbue mwenyewe? Au JK afichue siri za rafiki yake wa enzi hizo? - JAPO urafiki umekufa sasa.
Hivi wewe unalipwa Shilingi ngapi kuja kuandika pumba yako hapo ya kumlinda JK?
Mlinde JK kwa sababu jingine lakini si kwa utendaji.
Jk ni rais,
Mwaka 2005 maaskofu walisema ni chaguo la Mungu kuanzia CATOLIKI, kkkt, na pentekoste.
Mwaka 2010 wakamsusia. Baada ya kuona maji marefu akaanzisha udini ili apate walau kura za waislamu. Je, wajua hilo? Acha pumba.
Kuna network mtaani za kuaminika kuhusu uhusiano wa kikwete na Sitta. Sitta amekubali kumtetea kikwete kwa kupewa hongo na rushwa ya kimaajabu. Ufupi ni kwamba hizi ni taarifa bado za ndani ya ofisi ya raisi na kikosi cha wahuni ccm.
The truth is kikwete had failed all leadership tests long time ago and government of ccm is collapsing in our face. Drip drip drip drip!
Hata kama kikwete ukibadilisha mawaziri wote, uozo bado upo na tatizo ni kikwete wewe mwenyewe.
Habari kubwa zinakuja siku chache from now na stay tune to JF.