technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,560
- 57,885
Simple, Corona spread is out of control. Anajilinda na corona. Total lockdown. Anajua kuwa the situation is out of control na yeye yuko kwenye high risk. Hivyo kila mmoja anajilida kivyake (ingawa yye anatumia resources za nchi).Police wameongezwa maradufu chato why? Wananchi wa chato kwanini hawaruhusiwi kutoka nje hasa usiku? Mchana hawaruhusiwi kutoka bila kuvaa barakoa why? Wageni kutoka mikoa mingine now hawaruhusiwi kuja chato why? mabasi ya mikoani yanayopita chato yamepunguzwa? na yanayopita yanakuwa chini ya ulinzi mkali hakuna mtu kushuka?
Wewe verified use shut your mouth. Huwezi ongea la maana vinginevyo unafuatwa na verified user! Shut up!Unataka kusema nini? Maana naona unazunguuuuka sana hebu tuweke bayana.
Kanusha kwa hoja, mbona nakufundisha kila siku?Huu uzushi wa Chadema tushazizoea
Huu uwongo
watu wana ndugu zao Chato, huna haja ya kusema uongo!Huu uzushi wa Chadema tushazizoea
Huu uwongo
Kanusha kwa hoja, mbona nakufundisha kila siku?
Kanusha kwa hoja, mbona nakufundisha kila siku?
kapuuz haka kanatamani lockdown mi nakashauri kama kanaihitaji sana kaende chatoUnataka kusema nini? Maana naona unazunguuuuka sana hebu tuweke bayana.
Unakanusha kwa factsUtakanushaje uwongo ?
Uongo sio UwongoUtakanushaje uwongo?
nenda chato na wewe ukawe locked!Simple, Corona spread is out of control. Anajilinda na corona. Total lockdown. Anajua kuwa the situation is out of control na yeye yuko kwenye high risk. Hivyo kila mmoja anajilida kivyake (ingawa yye anatumia resources za nchi).
kama amechukua hatua hiyo Chato, basi na kwingine angelifanya hivyo. ndiyo watu walikuwa wanapigia kelele.
Mfe muishe wabaki wa Chato, TZ yote yao!