Hahahahahaaahaa aise nmedondosha glass ya majiKuna mananga hapo katikati walifanya zinaa kabla ya kwata
Unaa ulimzidiMmoja Mpaka kofia imeanguka
Pia huyo mstari was kwanza kaweka smart phone mfukoni make..chunguza kwa umakini utaona kina Tecno ndani...sijui kama ni protocol zinataka hivyo.Mmoja Mpaka kofia imeanguka
Kupishana huku kwenye gwaride kuna kitu hakipo sawa Either uvivu, dharau, makusudi, ama mafunzo hafifu
Sifa ya askari kupimwa nidhamu ni kwata na raha ya kwata vitendo viende sawa anyway napita tu.
Kwenye suala la kukata shingo kulia na wengine kuangalia mbele ni kawaida,,,yaani huyu wa kulia ni lazima aangalie mbele lakini wengine wote wanakata kuliawengine wamekata shingo wengine wameangalia mbele
Sijakuelewa....wamepishana vipi?View attachment 773849 Kupishana huku kwenye gwaride kuna kitu hakipo sawa Either uvivu, dharau, makusudi, ama mafunzo hafifu
Sifa ya askari kupimwa nidhamu ni kwata na raha ya kwata vitendo viende sawa anyway napita tu.
Kwenye gwaride watu wote walio upande wa kulia kwenye mstari wakati wa kutoa heshima wanatakiwa kuangalia mbele. Hao wengine ndiyo wanatakiwa kugeuza shingo kulia. Kwa hiyo hiyo ni kawaidaWengine nyuso zao wanatazama mbele wengine upande