Hivi Bank of Africa (BOA) wapo vizuri?Usithubutu kukopa CRDB yaani wako hovyooo
Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika.. so anakuona mtu muhimu sana.
Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Matajiri tumegomwa kuweka mizigo yetu 😀😀😀😀.. kila mtu ashinde mechi zakeLabda wana liquidity problems Mkuu STUKA. Wanaanza kukata watu ambao hawajapata mikopo yao huo ni WIZI!
Utakuwa ulizaliwa miaka ya 1960s mpaka 1970s... kwa msamiati unaoutumia.Kufuatilia mkopo wapo, nadhani unajua anapata commision kwa kila mkopo unao kamilika.. so anakuona mtu muhimu sana.
Hutakiwi kumpa hata cent 5.
Hahahahah hahahaNdio,na huwa nakaa na wanyonge wenzangu kuwasikia malalamiko yao
Ni kweli unakatwa rejesho moja alafu ndio mkopo utaingiaHili la kuanza kukata rejesho kabla ya kupata mkopo linastua kidogo.Tena nimeona watu kadhaa wanalalamika
Benki ya kifala sana hii kwa sasa, wapo na huduma yao ya e-banking wanahimiza watu kujiunga ila bado wako zama za mawe hawa jamaa. Wiki jana nilitoka nje ya nchi kidogo nikataka kutuma chochote kwa familia hii "system"yao inagoma haitoi password, kutafta msaada kwao zaidi ya wiki mbili hakuna solution wafanyakazi hawajielewi mpaka mameneja wao kwenye hiki kitengo cha e-banking, non-proffessional kabisa sijui wanawaokota wapi. Well, safari bado ni ndefu.
Na uhakikishe hiii kitu unampiga mara kwa maraSiku zote hakikisha loan officer una namba yake.
Hao ABSA utaratibu wao wa mikopo ukoje mkuu?Tulikubaliana kuwa huduma za kibenki bila longolongo nenda ABSA BANK mkopo ndani ya masaa 24 kwa riba ya 15%,hakuna haja ya kuhamisha mshahara kwani pesa yako ya mkopo utaingiziwa kwenye account unayopitishia mshahara kwenye benki yako.
Hao CDRB wana liquidity issue ila hawataki kuwa wawazi and bad enough wateja wakienda kuchukua settlement letter wanamuwekea amount sawa na inayoonekana kwenye payslip hii kitu haikubaliki popote ila kwa kuwa mmeaminishwa kuwa benki ni CRDB na NMB basi kaeni kwa kutulia dawa iwaingie vizuri.
Aiseeee....Tangu aondoke Kimei bank imekuwa kapu la Jiwe kujichotea hela ndio maana kila ziara ya jiwe Mkurugenzi wa CRDB yupo pembeni.