Kwa MakondaWakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula hela.
Naomba kujua nitumie chanel gani kuweza kuripoti wizi huu kwa serikali? Maana hawa jamaa wanacheleweshea watu huduma kwa sababu ya tamaa zao, mtu unazunguka kwa mawakala, kwenye simu unajaribu kulipia control namba haisomi, halafu baadae kabisa ndo wanakuambia leta hela yako tukupe huduma haipo fair kabisa na serikali inapoteza mapato mengi sana.
Wewe jamaa una akili sana. Ukweli ndiyo huo. Mtafutane, mnajifanya kama ni PCCB au Polisi au M-Tiss basi mnatinga na hiyo fake Control kwa mkuu wa hiyo taasisi mnasema mmetumwa kuchunguza, aisee mtakula mpunga.Njoo inbox tukachukue pesa kwenye hiyo tasisi maana wanalindana hao ukienda report sehemu watatafutana wanamalizana kwakua tz sasa ni shamba la bibi uzalendo hatutaki njo inbox tukachukue ada za watoto shule njoo tukachukue bahasha yetu na sisi hii nchi yetu sote
Hao tra wataweza kuchunguza??Report TRA . Hao watapigwa kesi ya uhujumu uchumi
Ukiweka picha wanaweza kuharibu ushahidi kwa ujanja waoooWew umeijuaje kama ni fake.? Tupia kapicha basi na sisi tuuone ufake wake
Hao jamaa utawaweza kwa staili hiyo maana wenyewe wapo na nguvu sana kwa nilivyowaona inatakiwa watu wanaojua kuchnguza kwa kufuatiliaNjoo inbox tukachukue pesa kwenye hiyo tasisi maana wanalindana hao ukienda report sehemu watatafutana wanamalizana kwakua tz sasa ni shamba la bibi uzalendo hatutaki njo inbox tukachukue ada za watoto shule njoo tukachukue bahasha yetu na sisi hii nchi yetu sote
Mambo mengine yanarekebishika ni vile tu hatujawekewa utaratibu mzurimkuu wameruhusiwa kula kwa urefu wa kamba
ukireport utasumbuliwa hadi ionekane wewe ndo mbaya
😂😂😂 Ebu tuweni seriousReport TRA . Hao watapigwa kesi ya uhujumu uchumi
Njoo in box nimekwambiaHao jamaa utawaweza kwa staili hiyo maana wenyewe wapo na nguvu sana kwa nilivyowaona inatakiwa watu wanaojua kuchnguza kwa kufuatilia
PM Kama unahitaji msaada plsWakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash wakanipa huduma. Ila ukihakiki ile control number inaonesha ipo invalid maana yake kuna wajanja wanakula hela.
Naomba kujua nitumie chanel gani kuweza kuripoti wizi huu kwa serikali? Maana hawa jamaa wanacheleweshea watu huduma kwa sababu ya tamaa zao, mtu unazunguka kwa mawakala, kwenye simu unajaribu kulipia control namba haisomi, halafu baadae kabisa ndo wanakuambia leta hela yako tukupe huduma haipo fair kabisa na serikali inapoteza mapato mengi sana.