Gambamala
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 1,045
- 766
Habari wanabodi,
Kuna taarifa kuwa, ili kuonesha kuchukizwa na Ufisadi/Rushwa. Wapinzani wamekubaliana kutoka nje kwenye vikao vyote vya Bunge vitakavyoongozwa na Chenge.
Hii imefikiwa kwenye kikao kilichofanyika jana wakati wakijadili swala la matangazo ya Bunge kutotangazwa live TBC.