Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,800
Katika heka heka za kupunguza gharama za uendeshaji wa harusi, kuna hii budget ya videography. Hii sekta inaongeza sana gharama na inaweza kufika Mil 2-3 kizembe sana.
Mara nyingi ukienda kwenye harusi utaona TV kadhaa zinaonesha live, macamera man kadhaa, drones na mataa ya picha. Hao ndigo kitengo cha videography ambao output yao ni kukupa picha na video kwenye USB Flash, picha za A3 na A2 kadhaa basi.
Sasa nauliza, Mbali na kupost kwenye social media, je uwa mnarudia kuangalia tena zoezi zima la harusi kuanzia sendoff, kanisani hadi ukumbini? Au kua na mpiga picha mmoja tu local ambae anaweza kulipwa chini ya laki 2 inatosha?