Mara kibao na download files na IDM lakini zinafika karibia na mwisho zinafail. leo bimedownload hadi 91% file la 4.5GB lime fail linastart a fresh hiv kuna njia kweli ya kuokoa hili
Uwezo wa kuweza ku endelea na download inategemea na server inayokupa hilo file, inabidi iwe na resume support. Situmii IDM ila free DM, na yenyewe inakwambia kama file unalodownload lina resume support.
Si server zote zinazoandika zinasuport kua zinasuport kweli. Mara nyingi ukiona file linakwama asilimia za tisini ujue lilicorupt kipindi fulani nyuma net ilipodisconect then ulipoconect ukawa unadownload hewa then file linakaribia kwisha vipart havihusiani na haviwezi kuunganishika.
Why ustumie torrent kama una net ambayo sio stable?