Kuna 'Sober House' za punyeto?

hivi wanawake nao wanapiga puchu..??[emoji85] [emoji85] [emoji81]
 
19?? Unatafuta nini Jf nenda Facebook
mkuu nakuheshimu sana unitake radhi kila mtu humu ana akaunti facebook kwahiyo usinipangie cha kufanya,ukubwa haukufanyi uwe member humu,wengi humu ni wakubwa ila "vichwa maji"
 
Nimepiga ya mwisho leo. Naahidi hii itakua ya mwisho.
 
 
 
Huyu hafanyi sana ka kakaaa siku 26 kuna wadau wanapiga bao tatu kwa siku mara tatu au nne kwa wiki
 
Mtu anae piga punyeto hadi siku akipiga bao linalofanana na nyoka ndio ataacha. Alafu inabidi sheria itungwe, maana huu ni uuaji wa kukusudia kabisa.
 
Huyu hafanyi sana ka
kakaaa siku 26 kuna
wadau wanapiga bao tatu
kwa siku mara tatu au
nne kwa wiki


ha ha lordchimkwese sidhan kama kuna anaenikuta mimi nilikuwa naenda had 6 per day hakuna siku niliacha kwa kipind cha mwaka mmoja labda kupunguza kutokana na kazi kuwa nyingi sidhani humu ndan kuna mwenye kunikuta
 
Amoxlin ww huchukui round ww tushindane mm jana nimejilipua cha mwisho mwezi huu october sijapiga kabisa
 
Kijana duh umezidisha aisee unatakiwa ushauri wa kina
 
Mkuu dawa ya kuacha nyeto ni kuoa,au kuwa na demu wa uhakika,kinyume na hapo nyeto haiachiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…