Kuna 'Sober House' za punyeto?

Nyeto kuacha ni maamuzi ya mtu mm nilifanikiwa kwa kujiweka bze sana
Sema wewe una tatizo la baridi ya bisi nyeto huwezi acha kienyeji enyeji eti kujikipu bze... Ukipona utarudia tu
 
Tatizo la punyeto ni kwamba vijana mnaangalia sana filamu za ngono siku mkiacha mtaacha
 
KWANINI UNATAKA UACHE..?TOA SABABU ZA MSINGI
 
ASANTE MKUU, MUULIZE TENA KWANINI ANAACHA ..?HALAFU MKUMBUSHE WOTE WALIOTANGAZA KUACHA HAKUNA ALIYEWAHI KUACHA TANGU NIMESHIKA NGAZI
 
Nimepiga Puli miaka 10.Natamani ningejua jinsi ambavyo ingeniathiri kisaikolojia. Sio rahisi lakini ukiwa na nia Inawezekana. Mimi nilijiwekea malengo na sasa hivi nimepiga hatua kubwa.
-Kwepa kukaa peke yako bila kazi
-Achana na picha za ngono kabisa. Kama unazo kwenye computer au simu FUTA zote
-Kwepa kuangalia picha za Uchi Instagram, Twitter au Whatsapp
-Ukiingia bafuni, OGA....Toka nje.
Hizo ni chache tu, lakini zilinisaidia.
ACHA NA UTAKUA MWANAUME WA UHAKIKA
 
Kwa anayehitaji tiba na ushauri kuhusu punyeto anitafute PM. Nilikuwa na vitu 3 vinanisumbua sigara, pombe na nyeto. Kuanzia 2005 nilijaribu kuacha kimoja baada ya kingine ikawa mtihani mzito hadi mwaka 2007 nilipofanikiwa kuzitosa sigara na pombe ila nyeto ikanishinda nikaendelea nayo. Aisee nyeto imenitesa sana na kunidhoofisha nilikuwa nikiapa naacha lakini baada ya siku 3 au wiki nairudia. Kuna kipindi kama mara mbili hivi nimewahi kutimiza mwezi lakini baadae nikairudia. Namshukuru Mungu mwaka 2013 ukawa mwaka wa ukombozi nikafanikiwa kuitosa rasmi nyeto ingawa hiyo ikazaa ugonjwa mwingine wa michepuko ambao sikuwa nao kabla as replacement ya nyeto. Ila mitihani hii ya dunia dah! Sasa nafight kuachana na michepuko.
 
ASANTE MKUU, MUULIZE TENA KWANINI ANAACHA ..?HALAFU MKUMBUSHE WOTE WALIOTANGAZA KUACHA HAKUNA ALIYEWAHI KUACHA TANGU NIMESHIKA NGAZI
Mimi katibu sijapokea barua yake ya kujiengua uanachama, anadhani atafanikiwa? hili game linadumu hadi miaka 30 na kwendelea, unakwepa kununua vaseleni ya 5,000 alafu unahonga 500,000 utajenga lini? kama katibu nasema sitaki upurofeseri, yeye bado ni mwanachama.
 
Mkuu kwa nini waje PM na sii hapa jukwaani?

Hapa ndipo sehemu ya kushauriana so weka mzigo wazi,...au ni mbinu za kibiashara?
 
Mkuu kwa nini waje PM na sii hapa jukwaani?

Hapa ndipo sehemu ya kushauriana so weka mzigo wazi,...au ni mbinu za kibiashara?
Ondoa wasiwasi Mkuu sina uwezo wa kuelezea yote kupitia maandishi na wala sihitaji senti ya mtu make mimi siyo mganga ni ex-victim wa hii kitu so yule atakayehitaji ushauri zaidi twaweza ongeo on phone au hata kuonana for counselling ndo maana nikasema kwa msaada zaidi njoo PM.
 
mkuu
umepiga mda mfupi sana
 
hawezi kuacha huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…