wanajua mkuuView attachment 51919Usikute hawa viongozi wetu hawajui implication ya kukua kwa Deni la Taifa.
Maana itafika kipindi tutakuwa hatukopesheki kwa madeni kila kona tena ya kujitakia bse hayana impact kwa uchumi wetu.
Kama walichukua kujenga roads mbona roads nyingi zimesimama kujengwa kisa ela?
Kama ni kulipa salaries mbona kuna watu it takes time kupata salaries
kwa matanuzi haya kwa nini deni lisiongezeka? rais anaenda kukutana na ex kocha ili iweje
Fedha za Kitanzania Tsh 14,400,000,000,000/
Hili ndilo deni la Tanzania,
linasomeka Trilioni 14
nukta 4 ukinyambua
vyema ni kuwa kila Mtanzania anadaiwa Tsh 335,000/=
Deni hili limekuwa
likiendelea mwaka hadi mwaka, huku mzigo wa kulilipa tukibebeshwa
wananchi. Je, mikopo yote ya ndani na nje inatusaidia nini katika
kuboresha maisha yetu na uchumi wa
nchi yetu?
Je, kwa mtindo huu wa rushwa na matumizi mabaya kama viongozi
kulipana posho kubwa kubwa zinachangia kulikuza
deni hilo? Nini kifanyike kulipunguza?
Je madeni haya
yamekusaidia Mtanzania kupata neema ya elimu au ya kimaisha?!
Vipi vijana wanapata mikopo ya elimu kwenye vyuo vikuu?
kwa matanuzi haya kwa nini deni lisiongezeka? rais anaenda kukutana na ex kocha ili iweje
MKUU usishituke hata china inadaiwa, ugiriki inadaiwa na mataifa makuubwa kabisa yana madeni.