Mwaka 1947 ni mwaka ambao wakoloni walijaribu zao la karanga Tanganyika wakaleta ma tractor kibao.. Lakini mwishowe project ikafeli kabisa na haikufanikiwa... Wakaingia hasara kubwa sana kuwahi kutokea... Toka siku hiyo failure yoyote huusishwa na mwaka wa 47...
Cc: mahondaw
Grandpa AK-47 was born in russiaWakuu nimekaa nikawaza sana, hivi huu mwaka 1947 kwa kifupi huitwa mwaka 47 , una Nini au una kipi cha kipekee maana kila jambo lililopitwa na wakat huusisha na mwaka huu, ukiwa mshamba huitwa wa mwaka 47 ,ukiwa taifa duni utaitwa wa mwaka 47, ukiwa na mikwara utaambiwa wewe jichanganye tu kwa kuleta mikwara yako ya mwaka 47, ukiwa hujui kutongoza basi utaitwa wa mwaka 47. etc.
Je kuna siri gani katika huu mwaka maana katika notable years of revolution throught the world I have not come across any significant event related to this year 1947, so, if u know anything potential about this year ,pop out pls for the betterment of all of us.
Karibu ni sana wadau.
Bange inavutwa kama kawa boy, labda kiroba ndo kimekuwa adimu kama niniIla bora bange na viroba vimepigwa marufuku kwani ulikuwa unaeleka kuwa chizi.
umenifirisi mkuu....Kulikuwa na tangazo kwenye radio miaka ya zamani kidogo mzee mmoja anasema hiyo kitu inamkumbusha mbali sana mwaka 47.Kuanzia hapo ukawa msemo hamna jambo la maana lililotekea mwaka huo.Ni kama tangazo la Vodafasta na kadhalika linavyokuzwa na kuleta maana nyingine.
Mengine yote ni bla bla tu, hii ndo chanzo cha msemo wa 47. Big up Kibukila.Kulikuwa na tangazo kwenye radio miaka ya zamani kidogo mzee mmoja anasema hiyo kitu inamkumbusha mbali sana mwaka 47.Kuanzia hapo ukawa msemo hamna jambo la maana lililotekea mwaka huo.Ni kama tangazo la Vodafasta na kadhalika linavyokuzwa na kuleta maana nyingine.
Hapo umenenaKulikuwa na tangazo kwenye radio miaka ya zamani kidogo mzee mmoja anasema hiyo kitu inamkumbusha mbali sana mwaka 47.Kuanzia hapo ukawa msemo hamna jambo la maana lililotekea mwaka huo.Ni kama tangazo la Vodafasta na kadhalika linavyokuzwa na kuleta maana nyingine.
Ni mwaka officially II WW ilianza.Iowa, World War II Bonus Case Files, 1947-1954
Sio Kuhusu Bunduki hata kidodgo. Jamani Kuna Tangazo RTD( jamani mfanyakazi wa TBC hebvu tewekee Tangazo hilo vijana walisikie tena lilikuwa na ubunifu wa hali ya juu) yaani watu wawili walikuwa wanaongea mwenzie ndio akamwambia unanikumbusha mwaka 47( arobainin na sabaaa) akimaanisha miaka ya zamani. Hivyo ukiwa na mbambo ya kiizamani ndio unaambiwa mambo ya kimwaka 47. Jamani TBC tukumbusheni ili vijaba wajifunze na ubunifu wa Zamanai - a.ka. mwaka 47.Kwahiyo huo mwaka hutumika kuenzi utengenezwaji wa hiyo bunduki ya AK-47 , na kaka ndivyo, mbona bunduki husika inaonekana kuwa bora mpaka mwaka huu 2017 ingawa kwa ufahamu wangu Mimi matendo yanayohushwa na mwaka huo yanaoneka kuwa outdated and archaic one.
Mwingine unasema unahusishwa na bunduki ya AK -47 , mwingine anaibuka na kuhusisha na bashite. Sasa tushike lipi tuache lipi.
Nikusahihishe lilikuwa kwenye Radio hata TV zilikuwa hazijaanza Tanzania! Jamani lirudiwe hilo Tangazo Zuri saaaana! Sasa wact kabisa lionyeshwe kwenye TV.Kuna tangazo la biashara ambalo lilikuwa kwenye TV na redio miaka ya nyuma kuna neno walikuwa wanalitumia kuonyesha kwamba usiwe mtu wa mwaka 1947 ila uwe wa kisasa, ndiohapo msemo ukaanzia hapo