Kuna siri gani wakuu katika jambo hili linalonisumbua?

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
388
Reaction score
380
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Baada ya kumaliza form 4 ndio ukawa mwisho wa kuonana nae mpka sasa ni takribani miaka 10, sijaonana nae wala kuwasiliana nae. Kwa sasa yeye ameolewa mkoa fulani na ana watoto 2, ni mtumishi wa serikali.

Issue ni hii... Toka nimeanza kuota ndoto nyevu (Kubalehe), mtu ninaeota nafanya nae mapenzi ni yeye mara nyingi. Toka enzi hizo tupo wote mtaa kukiwa shule, mara nyingi nilikuwa naota nafanya nae mapenzi na nikishtuka nakuta nimemwaga kabisa, mpka sasa ni kijana mkubwa tu lakini hata usiku wa kuamkia leo nimeota namgegeda na nmeshtuka nmemwaga!

Kuna maswali mengi sana najiuliza ila majibu sipati, linaonekana ni swala la kiroho sana, kuna wakati nahisi nina yale mapepo machafu.

Wakuu kuna issue gani hapa na kama ni mapepo kwanini yatumie sura ya huyu dada mara zote???
 
Binafsi naona kuwa Hili swala ni la kiroho zaid.....wanaita jini mahaba....tafuta msaada wa kiroho
 
Hayo mapepo ya ngono hayana adabu.. ukiangalia mfumo wako wa maisha umeharibiwa kwa kiasi kikubwa.. mambo hayaendi kama unavyopanga..

Pole sana omba Mungu kwa imani yako na upate msaada wa kiroho hilo jini mahaba likuachie. Uzuri umefahamu chanzo chake.
 
Thanks mkuu! na hili la kutumia sura ya mtu mmoja ndotoni limekaaje??
na kwanini yeye tu asiwe mtu mwingine?
 
Ulimpenda (umampenda) sana ila ukashindwa kumwambia sasa fanya moja kati ya haya au yote kwa pamoja

1.Fanya sana maombi (swali sana) Mola akuepushie kumuwaza tena ever
2.Tafuta mke yaani OA... maana huyo siyo riziki yako tena as long as ameshaolewa
 
Ukaribu wenu ndio sababu kuu.. na inawezekana ulishaweka hisia za kimapenzi kwa huyo dada au kinyume chake. Na pepo likatumia udhaifu huo ili kuwafarakanisha.
 
Ulimpenda (umampenda) sana ila ukashindwa kumwambia sasa fanya moja kati ya haya au yote kwa pamoja

1.Fanya sana maombi (swali sana) Mola akuepushie kumuwaza tena ever
2.Tafuta mke yaani OA... maana huyo siyo riziki yako tena as long as ameshaolewa
Noted with thanks!
 
OA kama hujaoa
Mtumie mkeo vizuri kama bado utakua unapata wet dreams ni issue ya Imani sasa
Kawaida siku 90_120 kama haujatumia sperms zitatafuta namna ya kutoka
 
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Baada ya kumaliza form 4 ndio ukawa mwisho wa kuonana nae mpka sasa ni takribani miaka 10, sijaonana nae wala kuwasiliana nae. Kwa sasa yeye ameolewa mkoa fulani na ana watoto 2, ni mtumishi wa serikali.

Issue ni hii... Toka nimeanza kuota ndoto nyevu (Kubalehe), mtu ninaeota nafanya nae mapenzi ni yeye mara nyingi. Toka enzi hizo tupo wote mtaa kukiwa shule, mara nyingi nilikuwa naota nafanya nae mapenzi na nikishtuka nakuta nimemwaga kabisa, mpka sasa ni kijana mkubwa tu lakini hata usiku wa kuamkia leo nimeota namgegeda na nmeshtuka nmemwaga!

Kuna maswali mengi sana najiuliza ila majibu sipati, linaonekana ni swala la kiroho sana, kuna wakati nahisi nina yale mapepo machafu.

Wakuu kuna issue gani hapa na kama ni mapepo kwanini yatumie sura ya huyu dada mara zote???
Yanatumia pich aya huyo dada ili wewe uone kuwa ni mtu unayemfahamu,na kuna connection itakayoonyesha kuwa alishawahi kuwa karibu na wewe,na utachukulia ni kawaida.Mapepo ni majanja sana na yana akili ya ziada kuliko ya binadamu.Nenda kwenye maombi ukaombewe ili yatoke,na wewe mwenyewe acha kuishi maisha ya machukizo kwa Mungu,tii amri zake na kumtukuza...
 
Thanks mkuu! na hili la kutumia sura ya mtu mmoja ndotoni limekaaje??
na kwanini yeye tu asiwe mtu mwingine?
Huyo mtu ni yeye na si mwingine.

Mimi ninao uzoefu mkubwa mno kwa sasa na tatizo la aina hii. Kwa kifupi tu ni kwamba kuna wakati mapepo ya aina hii yalikuwa yanarushwa kutokea Kanisani; halafu J2 inayofuata mtu husika na mapepo hayo anasimama madhabahuni na kuanza kuwaomba waumini wenye tatizo la aina hiyo wapite mbele madhabahuni, wale wanaosumbuliwa na na hali hiyo. Utakuwa uko very seneitive kitoho kama nilivyo mimi. Mimi mtu akija kwa mtindo huo mara nyingi, japo si mara zote, lazima nimfahamu

Unayemuona ndiyo yeye. Nina uzoefu ambao nina uhakiaka wa asilimia 100 katika hili; nalijua na bado ninalifanyia utafiti.
 
Aisee, naomba kushare kitu... kuna mdada alikuwa jirani yangu tumekua na kucheza pamoja tukiwa watoto, tumesoma wote darasa moja primary school, secondary school tumesoma shule tofauti kwa vile zilikuwa day schools tulikuwa pia na muda mwingi wa kuonana na kupiga stories, lakini hatukuwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi. Baada ya kumaliza form 4 ndio ukawa mwisho wa kuonana nae mpka sasa ni takribani miaka 10, sijaonana nae wala kuwasiliana nae. Kwa sasa yeye ameolewa mkoa fulani na ana watoto 2, ni mtumishi wa serikali.

Issue ni hii... Toka nimeanza kuota ndoto nyevu (Kubalehe), mtu ninaeota nafanya nae mapenzi ni yeye mara nyingi. Toka enzi hizo tupo wote mtaa kukiwa shule, mara nyingi nilikuwa naota nafanya nae mapenzi na nikishtuka nakuta nimemwaga kabisa, mpka sasa ni kijana mkubwa tu lakini hata usiku wa kuamkia leo nimeota namgegeda na nmeshtuka nmemwaga!

Kuna maswali mengi sana najiuliza ila majibu sipati, linaonekana ni swala la kiroho sana, kuna wakati nahisi nina yale mapepo machafu.

Wakuu kuna issue gani hapa na kama ni mapepo kwanini yatumie sura ya huyu dada mara zote???
Yanatumia sura ya huyo Dada sababu shetani ni muasisi Mkuu wa uwongo tangu kuumbwa kwa dunia, ndiyomaana alimdanganya Ever/Hawa kuwa "Hakika akila tunda hatakufa".

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usidanganyike kiufupi huyo mwanamke ulikuwa unampenda sana na mpaka leo unamuwaza na kumkumbuka sana msisingizie mapepo basi hapo hisia zako kwake au mvuto wake kwako ndo pepo lenyewe lakini hii ni kawaida kwa binadamu kitu ambacho unakiwazaga kitakukaa kichwani na huwa inajirudia ndotoni kama hautaota siku uliyowaza itakuja kutokea siku nyingine ndo kinachokutokea,,,kwa mfano kama ivi ulivyoandika kuhusu yeye tayari unamuwaza yeye
 
Hakuna cha mapepo ,usijiongopee na wala usiongopewe.
Huyo mwanamke ulimpenda na bado yupo kwenye mawazo yako ndiyo maana unamuota.Na vilevile inawezekana na yeye alikupenda na mlikuwa mnaendana(bond) na mpaka sasa umekosa mwanamke unayeendana naye kama yeye.
 
Huo ni ugwadu ndgu yangu.
Huwa unawaza ngono na una migenye ya kufa mtu.

Tafuta manzi ugegede ndgu yangu unaharibu mashuka.
 
Back
Top Bottom