Kuna siri gani kwenye chumvi?

Chumvi ya mshana jr imetusaidia sana.

mabaharia wanaozama baharini nao walisema kuna chumvichumvi, sijui ni kweli ?
 
Hiv karibuni nimeona mtu ameandika kuwa ukichukua kitunguu swaum kizima ukachanganya na chumvi hlf ukaweka chini ya mto mchawi hakusogelei
 
Hiv karibuni nimeona mtu ameandika kuwa ukichukua kitunguu swaum kizima ukachanganya na chumvi hlf ukaweka chini ya mto mchawi hakusogelei
Sijajua kama kuna ukweli wowote....
 
Mtu akioga maji aliyochanganya na chumvi plus sabuni ya magadi je?

Hapo inakuwaje?
 
Hivi mke wa Lutu alipogeuka nguzo ya chumvi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha kuwa aligeuka nguzo ya chumvi [emoji848][emoji848] [emoji2369][emoji2369]
Swali fikirishi ila ilithibitishwa na mumewe kwani walishaambiwa na malaika hilo jambo na katika safari yao akakosekana mmoja ambae ni lutu basi ikajulikana kuwa amekuwa chumvi sawa sawa na neno wa bwana mungu wetu nalo likatimia.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…