Shaka-Zulu
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 432
- 822
Mbona ni wazi kabisa! Kusoma vitabu sana yanafanya macho yaharibike na kuhitaji miwani kuona vizuri. Na kusoma sana ndiyo inawapatia akili nyingi na tabia ya ustaarabu.
Sio kweli kwakuwa kipimo cha ustaarabu sio miwani bali tabia ya mtu ya kuzaliwa au kujifunza ikisaidiwa na elimu kwa kiasi fulani.Rudi kwenye mada watu wanaovaa hizi miwani wengi wamestaharabiaka je ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu inakuwa kwenye kundi gani?Miwani nayozungumzia mimi sio zile anazovaa Diamond jukwaani, Bali ni zile za macho ambazo watu wengi huvaa kwa matatizo ya macho
Katika research yangu niliyoifanya kwa miaka mingi nimegundua asilimia kubwa ya watu wanaovaa hizi miwani wamestaharabika sana
View attachment 1027365
Huwezi ukamkuta mtu kavaa hizi miwani alafu akawa hajielewi yani wengu huwa ni wakimya alafu akili nyingi kichwani na wengi huwa ni wasomi
View attachment 1027366
Kuna siri gani kati ya wavaaji wa miwani za macho na tabia ya ustaharabu na kili nyingi?
View attachment 1027367
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenye mada watu wanaovaa hizi miwani wengi wamestaharabiaka je ni kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu apofuke macho kwa ujinga wake wa kutokula matunda na mboga za majani leo hii uniambie ana akili nyingi kichwani?
Labda nyingi kulinganisha na zako
Umeshaambiwa wana akili nyingi na pia wengi wasomi walitumia muda wao mwingi kusoma or kubukua eg Dr. Wahasib karatasi nyeupe zinaimiza sana macho sio swala la kukosa matunda na mboga,mtoa mada uko sahihi 90%

Jamaa yangu we mtupu sana kichwani, na ndio type ile ya mafala wa mkoani ambao wakimuona mzungu tu, wanajua ni PADRE. Ninawajua watu wengi wasomi ambao macho yao yanaona vyema mpaka leo hii.Kama karatasi nyeupe umeachana nayo form 4 huwezi vaa miwani kamwe.
Rudia huo utafit mkuuMiwani nayozungumzia mimi sio zile anazovaa Diamond jukwaani, Bali ni zile za macho ambazo watu wengi huvaa kwa matatizo ya macho