Kuna siri gani kati ya Magufuli na BOT/PSPF?

Mifuko yote ya hifadhi ya jamii haiko vizuri. Naweza nisiseme moja kwa ufisadi, lakini kuna mambo mengi yanayoashiria hivyo. Wanasema hata shirika moja likijaa watoto wa wakubwa ni sawa tu ili mradi wana sifa. Lakini kuna siku watanzania watakuja kuelewa ukweli wa mambo.....mifuko hii inaendeshwa kisiasa sana. Badala ya kuwa mali ya wanachama (ambao ndio wanaochangia), imefanywa kuwa mali ya serikali na viongozi wa serikali ndio wenye maamuzi makubwa kuliko wanachama. Hizi pensheni zinaonekana kama hisani kwa wanachama na si stahili yao.
 
This is another revelation. Why obsession na shirika moja wakti mengine yana ufisadi wa kutisha zaidi
 
Nashangaa hizi institutions zimejaa uozo ubadhirifu na madudu ya kila namna.

Yote hayo Magufuli anajua na alikemea sana BOT.

So far hatujaona change of management au board au uendeshaji wake.

Je, Inawezekana a naogopa kukutana PSPF kwa sababu ya Godfather wake (Mkapa) au?

If that's the case kwa nini ana woga sana na BOT?
 
Pale "Benki Kubwa" kuna watoto wa Viongozi kibao. Ukigusa pale umegusa vyeti za watu.
Aliruka ruka one day, watu wakamtembelea, wakamtuliza. Akatulia.
Pengine alipewa gunia la "mpunga" akachekelea kimya kimya.
Na inawezekana kabisa jamaa akipiga kelele, lengo lake utetemeke, upeleke shukrani. Sasa kwa vile wengine wanaogopa kumpelekea kitulizo, basi tena jamaa anakutenda. Huwezi kuona akigusa TANROADS kwa sababu wanajua anachotaka.

"Traffic wanahangaika, hata mtu wa kuwashukuru hakuna, wakipewa 5,000 ya kubrashi Viatu nayo rushwa???" Raia namba Moja.

Jamani chonde chonde, pelekeni ya kubrashi Viatu

Mbona hamumuelewi mwenzenu?
 
Umemwaga mboga.
 
Back
Top Bottom