Kuna siri gani kati ya Jiji na Serikali?

tinetini

Member
Oct 15, 2018
72
45
Leo nimekamatwa Keko wanapaita bodi nilikuwa nakunywa chai ghafla difenda tukachukuliwa hadi site. Hakuna kujieleza utaeleza mbele na tulipofika tukaambiwa tutoe faini elfe 50. Ukihoji vizuri wenyewe wanadai maagizo kutoka juu na wameletwa watu pale wanaenda kazini

Sasa nashangaa huu utaratibu gani kwa Serikali yetu?

Nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani hata sielew adi sasa na wanatoa risiti kabisa unalipiaa benki ila ukamataji wao sijaupenda kwa kweli


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ila ukamataj wao sijaupenda na unalipiaa benk risit unapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kua mzalendo
Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani sio mwandishi mzuri ila Leo nimetafuta hadi nimejuaa wapi wanaandika nami nitoe malalamiko yangu ,nawaslisha
Umeingia 15 /10/2018 leo ndiyo umejua mahali pa kutoa maoni...!!! Na ni dakika 22 zimepita toka upost uzi huu!!!
 
Mkuu umetoa mchango wa stigla goji. Vumilia tu maana maendeleo hayana chama.
 
Watu wanatia grisi vyuma vilivyo kaza. Hawaangalii wala kujali kuwa wanakamua walalahoi.
Hiyo ya amri kutoka juu ni zuga tu, rais anakujua wewe hata akutumie watu wake wakukamate?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pesa inatafutwa kwa nguvu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…