Nakuunga mkon mkubwami natumia nokia 5800 xpress music na inafungua kila aina ya file(ofcoz sio ya mchina)
Nadhan majibu ulopewa na wana jamii yanaridhishaHabari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.
inafungua kwa kuscroll kama adobe right and left au ipo optimized kwa simu??au tumia ucweb browser inafungua pdf na doc
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.
Ipo kwa simu, inafungua kama txt.inafungua kwa kuscroll kama adobe right and left au ipo optimized kwa simu??
Kwani ya Mchina ina tatizo gani?mi natumia nokia 5800 xpress music na inafungua kila aina ya file(ofcoz sio ya mchina)
Habari wanajamii. Nauliza kama kuna simu za mkononi zenye uwezo wa kufungua pdf files.