fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,691
- 9,290
Huyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !Kwa hio ulikua unataka kusemaje hapo?
Sio Bill Lugano huyu kweli au Kiduku lilo mmemchunguza vizuri?Huyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !
Nilitaka kuwachekesha tu but muhimu ni kwamba usitume meseji bila kuihakikiKwa hio ulikua unataka kusemaje hapo?
Hapana,yeye kawa mzee sana ila tunatembeleana na tunapigana busu na romansi za hapa na paleBado unakula?
Kujisifia sio mtindio wa ubongo bali ndio hali halisi,kwani wewe hata kiswahili hujui,kwamba jisifie mwenyewe kabla ya kusiwa.Yaelekea wewe una shida kwenye ubongo wako kwamba hupendi kusoma nyuzi za mtu kujisifia,hilo ni tatizo lako broSio Bill Lugano huyu kweli au Kiduku lilo mmemchunguza vizuri?
Sio najisifia kuwa nilikuwa mhadhiri nje ya nchi,ni kweli kuwa nilikuwa,ila ugaidi sijawahi kufundisha kwani shule nilizofundusha hazina urafiki na ugaidi,ndugu punguza nyodo,destiny ya mtu hapangi mtu ni Mungu ndio alipanga iwe hivyoHuyu jamaa km ana mtindio wa ubongo post nyingi ni kujisifia mara anapika chapati za mayai ooh nilicheza utotoni na Rostam Aziz sasa hizi private life zake sijui zinatusaidia nini ? na hapo anatamba alikuwa Mhadhiri vyuo vikuu vya nje ! sijui alikuwa anafundisha ugaidi !
Haya Mkuu funguka huko nje ulikuwa unafundisha nini ?Sio najisifia kuwa nilikuwa mhadhiri nje ya nchi,ni kweli kuwa nilikuwa,ila ugaidi sijawahi kufundisha kwani shule nilizofundusha hazina urafiki na ugaidi,ndugu punguza nyodo,destiny ya mtu hapangi mtu ni Mungu ndio alipanga iwe hivyo
Sijui kama umewahi kusoma nyuzi zangu vizuri,sijui hata kama unajua usuli wa maisha yangu?Sijui kama unajua kuwa mimi ni suriyama wa kinyamwezi na kijerumani?.Kabla sijakwambia nilikuwa nafundisha nini,hebu tumia muda wako kidogo kusoma mimi ni nani,kwani mie sio mtu wa majisifuHaya Mkuu funguka huko nje ulikuwa unafundisha nini ?