Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

Kuna shule moja inaonyesha anguko matokeo

Niliwahi kuwaza kwa nchi yetu ambayo ni corrupt huenda shule hizo wananunua mitihani!
 
Hizi shule za binafsi tusiziamini sanaView attachment 3397312
Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
Kumbuka hii ni A Level, sio O Level.
Wanafunzi wengi waliofaulu vizuri O Level katika shule za private hujiunga shule za serikali A Level. Kwa hiyo ukiona wanafunzi wa shule za serikali wamefaulu vizuri A Level ujue ndio hao hao waliotokana na private za O Level.

Ndivyo wajanja tunavyoenda. Unapeleka mtoto private za primary na O Level, halafu A Level anarudi serikalini.
 
Tangu matokeo ya mtoto wa mkubwa mmoja kutoka na Div 4
Na huyo mtoto "kilaza" sasa kwa kumtumia Millard Ayo wanaanza kumjengea mazingira wampe viti maalum na kama wataendelea kuwepo aje awe kama Ridhiwan.
Kweli bila NO REFORMS NO ELECTION nchi baadae kila sehemu kutaongozwa na vilaza.
Ila Mabeyo! 2021 alitukosea sana kuilinda katiba kwa mtindo ule na baada ya hapo akaacha.
 
FEZA, MARIAN, KEMEBOS wanabakisha vipanga tu kufanya mitihani shule zao. Si haki kulinganisha na Jangwani.
kabisa na kama wanaona kuwa mwanafuzni husika hataweza pata division one wanachofanya wa kemoboz anahamishiwa kaizaerage na fedha wanapelekwa fedha internataional.
 
kabisa na kama wanaona kuwa mwanafuzni husika hataweza pata division one wanachofanya wa kemoboz anahamishiwa kaizaerage na fedha wanapelekwa fedha internataional.
Je Hawa??
1000089204.png

Wanapeleka wapi makapi maana hapa ni creem tupu
 
Mbunge alipata four ya 31 Ila aliyesababisha majina yatolewe alipata four ya 27 ilikuwa 2011 baba yake alikuwa ptezidaaa
Mimi nilikuwa nawaangalia tu tangu mwanzo najisemea hawa wajinga wana publish matokeo kwa majina ya watu mtandaoni hawaoni kuwa wana violate privacy hapa?
 
Je Hawa??View attachment 3398056
Wanapeleka wapi makapi maana hapa ni creem tupu
Hapo st Francis huwaga wana bana sana kwenye interview zao. Lakini mm advance nilisha wai soma na demu 1 hv wa st Francis matokeo aliyopata o level na status ya shule yao ilovyo kuwa kubwa lakini advance adi 0 na 4 alaikuwa anapiga tuu. Mpka unaweza shangaa😂😂
 
Kitu wazazi hamjui ni kwamba a level watoto wanapelekwa shule za serikali..

Hizo private zinabaki na wazazi na manunda.
Over.
 
Back
Top Bottom