HII SHULE HAINA UZURI WOWOTE ULE. INACHAGUA WANAFUNZI BORA NA KWA HILI ANGUKO NI DALILI KUBWA KUWA INAKOLEKEA NI KULEEEE. IMEHARIBU FUTURE YA VIJANA WALIKUWA NA MATOKEA MAZURI KIDATO CHA NNE LEO HII WAMEPATA DARAJA LA TATU NA LA NNE.Hizi shule za binafsi tusiziamini sanaView attachment 3397312
Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
Hiyo hamna kitu labda yule pacha wakeHizi shule za binafsi tusiziamini sanaView attachment 3397312
Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
Imepigwa knockout mwaka huu
Mkuu hawa ni part 2 shule ya vichwa ni kembosHizi shule za binafsi tusiziamini sanaView attachment 3397312
Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
Hii shule huwa ni ya kawaida itakuwa umefananisha na kemebosHizi shule za binafsi tusiziamini sanaView attachment 3397312
Kuna wakati zinapaa lkn upepo Huwa unabadilika haraka mno
Kemobos into wanafunzi 30 tu utalingalisha na shule zenye wanafunzi wengi?Hii shule huwa ni ya kawaida itakuwa umefananisha na kemebos
Umeona matokeo?Kemebos naona wamedrop
Tangu matokeo ya mtoto wa mkubwa mmoja kutoka na Div 4Hawa ndezi wameacha kuandika majina siku hizi?