Kuna sheria yoyote ya Tanzania inayozuia kutamka hadharani kuwa unamchukia Rais wa nchi?

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,417
Naomba nijuzwe,

Je, kuna sheria yoyote inayonikataza kutamka hadharani kuwa namchukia rais wa nchi mfano Rais Magufuli?

Maana sitaki nivunje sheria mimi ni mtiifu kwa Katiba.

Naomba majibu wakuu nina haraka kidogo
 
Una haki ya kumpenda au kumchukia mtu yeyote ilimradi chuki yako isiwe ya vitendo yaani kumshambulia kwa vitendo au maneno. Kama ni chuki tu, wewe chukia mpaka upasuke ila knadhani ukitamka hadharani tu kwamba unamchukia Magufuli, kwa polisi hii isiyojua tofauti kati ya magharibi na mashariki utapotezwa. Hivyo nakushauri baki na chuki yako rohoni.
 
Rais pamoja na Wakuu wake wa Mikoa na Wilaya na wana mamlaka ya kisheria na kikatiba kukuweka ndani kwa muda usiozidi saa 48 'wakihisi' uwepo wako uraiani unahatarisha Amani!

ukijiona kisheria si kosa kutamka unamchukia Rais pia jikumbushe kuwa kisheria si kosa Rais kukuweka ndani akihisi kuna ulazima wa kufanya hivyo

Nyerere hakuwa mtu wa mchezomchezo
 
Acha kumsingizia Nyerere kwa ukatili unaofanywa na Magu..
 
sio kosa kikatiba kumchukia mtu, ila kutangaza hadharani na kwa weledi wa hawa makachero wakengeukaji wasio jua sheria wao ni kutumwa kama misukule, utapotezwa haraka sana. kuna brother mmoja alihoji uhalali wa pii hechi dii (phd) ya mtukufu alipotezwa kusikojulikana....awamu hii na ya kwanza ni chungu sana kwa watz.

pamoja na mazuri ya awamu ya kwanza haya matukio ya kupotezwa yalikuwepo, mwl alikuwa hakosolewi kizembe, na akigundua utamsumbua huko mbele ama unamzidi akili anakuzima fasta, enzi hizo tanzania nyeusi.....(sorry maiti haisemwi vibaya)

awamu ambazo watz walienjoy ni ya pili, tatu na nne.
 
Rais pamoja na Wakuu wake wa Mikoa na Wilaya na wana mamlaka ya kisheria na kikatiba kukuweka ndani kwa muda usiozidi saa 48 'wakihisi' uwepo wako uraiani unahatarisha Amani!

ukijiona kisheria si kosa kutamka unamchukia Rais pia jikumbushe kuwa kisheria si kosa Rais kukuweka ndani akihisi kuna ulazima wa kufanya hivyo

Nyerere hakuwa mtu wa mchezomchezo
and that's why he failed
 
....Angekuwepo leo mngethubutu kufanya huo upumbavu wenu?
 
Back
Top Bottom