Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,253
- 144,317
Serial killer wanaua kwa staili hiyo mkuu?
Wewe Nyani huna unachoelewa zaidi ya kumpigia zumari mfalme. Hakuna kitu kama udini Tanzania ila kuna chama moja chakavu kinachoeneza chuki na uadui kati ya watanzania!Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.
Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.
Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.
Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.
Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.
Wewe Nyani huna unachoelewa zaidi ya kumpigia zumari mfalme. Hakuna kitu kama udini Tanzania ila kuna chama moja chakavu kinachoeneza chuki na uadui kati ya watanzania!
Kuna haja pia kujifunza Serial killers wanavyokuwa eliminated kwa nchi zilizoendelea.
Evidently bado maana umesoma na kuchangia!
Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.
Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.
Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.
Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.
Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.
Hakuna cha serial killer hapo !! Polisi wetu wawe strategic tu;; hii issue ni ya kutumia akili sana siyo nguvu zaidi
Kwa situation ilivyo, kwa kiasi fulani inakidhi kuita serial killing ingawaje bado hakuna established pattern!!!
Naona kama mauaji yao mengi yanakuwa yapo 'subtle' kidogo...polisi 8,trafiki, wenyekiti vijiiji, viongozi wa ccm, hawa ni magaidi, wanalengo la ku achieve political aim fulaniKwani serial killers hufuata playbook moja ya kuua?
Hivyo vizee unavyoviogesha vimefungwa Camera?Haya mauaji yanayoendelea huko Pwani yamenifanya nifikirie huenda kuna serial killer huko.
Kwa kumbukumbu zangu sijawahi kusikia Tanzania tukiwa na tatizo la watu wa hivyo lakini hiyo haimaanishi hawawezi kuwepo.
Pamoja na uwezekano wa matukio hayo kuwa ni ya kighaidi [unaosukumwa na dini], ingekuwa vyema kwa vyombo vyetu vya usalama kuangalia uwezekano wa uwepo wa serial killer pia.
Halafu, nadhani ni muda muafaka sasa kwa askari wetu wa polisi na wale wa usalama barabarani kuanza kuvaa body cameras.
Uvaaji wa hizi camera utasaidia mengi sana ikiwemo kuondoa utata wa unyanyasaji wa polisi.
Kwa sasa sidhani hata magari ya polisi yako mounted na cameras.....