Baada ya Rais kusema watagawa sukari bure, japo nilijiuliza maswali mengi lakini baadaye nikajipa moyo kuwa wahujumu uchumi kwa namna yoyote lazma washughulikiwe kwa namna yoyote ile.
Leo tena nimesikia mabasi ya BRT tutapanda siku mbili bure!
Hivi haya mambo huwa tunayafanya kwa manufaa ya nani au ushauri wa nani ambao duniani kote tunakuwa sis wa tofauti kila siku..
Hizo gharama za kuendesha mabasi bure siku mbili nani anazilipa! nchi ina madeni, watu hawapati huduma za msingi, halmashauri zinahitaji fedha, shule hazina vifaa vya kufundishia lakini bado tunafanya mambo bure.
Wachumi wanaweza kutwambia kwa siku mbili Serikali ingekusanya shillingi ngapi.
Ebu tujenge nchi yetu na tuachane na mambo ya bure na siasa kila jambo.