Kuna sababu gani mimi kuoa?

Kuna sababu gani mimi kuoa?

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Posts
2,655
Reaction score
2,650
Salaam wanajukwa,

Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni kuumizana, usaliti, kuzaa nje ya ndoa, kula mashemeji na mambo chungu nzima ya kuudhi na kuumiza.

Nimetafakari sana nikajiuliza kuna sababu gani mimi KUOA?

Nimekua nikiona rafiki zangu waliooa wakiwacheat wake zao, wadada rafiki zangu wakiwacheat waume zao marafiki zangu ambao hawajaoa wana wapenzi zaidi ya watatu na wanawapanga si mchezo.

Mimi mwenyewe nina wapenzi zaidi ya wawili na hawajuani na nikiwafatilia nao hao wapenzi wangu nao wana wapenzi wengine.

Binafsi nina mtoto nimezaa na mdada mmoja ila sijapanga kumuoa. Kila nikipata wazo la kuoa aisee nikikumbuka mambo ninayosoma na kushuhudia nakufa moyo sitamani kabisa ndoa.

Marafiki zangu karibia wote wameoa, wadogo zangu nao wanataka kuoa ila mimi bado najiuliza naoa kutafuta nini? Si niongeze mtoto mwingine na mwanamke mwingine halafu nilee tu watoto? Kwanini kuleta maumivu ndani ya nyumba?

BADO NAWAZA
 
Salaam wanajukwaaa.
Ijumaaa hiyoooo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane.

Niende kwenye mada moja kwa moja.

Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe. Hata wewe unaesoma hapa na mpenzi wa jukwaa hili jaribu kupitia Thread za huku. Nyingi ni kuumizana, usaliti, kuzaa nje ya ndoa, kula mashemeji na mambo chungu nzima ya kuudhi na kuumiza.

Nimetafakari sana nikajiuliza kuna sababu gani mimi KUOA?

Nimekua nikiona rafiki zangu waliooa wakiwacheat wake zao, wadada rafiki zangu wakiwacheat waume zao marafiki zangu ambao hawajaoa wana wapenzi zaidi ya watatu na wanawapanga si mchezo.

Mimi mwenyewe nina wapenzi zaidi ya wawili na hawajuani na nikiwafatilia nao hao wapenzi wangu nao wana wapenzi wengine.

Binafsi nna mtoto nimezaa na mdada mmoja ila sijapanga kumuoa. Kila nikipata wazo la kuoa aisee nikikumbuka mambo ninayosoma na kushuhudia nakufa moyo sitamani kabisa ndoa.

Marafiki zangu karibia wote wameoa, wadogo zangu nao wanataka kuoa ila mimi bado najiuliza naoa kutafuta nini? Si niongeze mtoto mwingine na mwanamke mwingine halafu nilee tu watoto? Kwanini kuleta maumivu ndani ya nyumba?

BADO NAWAZA

Kidini hao watoto unaozaa nje ya ndoa si wako...ni wa ukoo wa mama zao! Pia una uhakika gani kuwa watoto hao wawili ni wako na si wa wanaume wengine, kama scenario uliyojaribu kuichora ndiyo ipo hivyo?
 
Mkuu ni mmoja na tayari nshapima DNA ni wangu. kwa hilo sina shaka nalo
 
kwani si ulizaliwa na wazazi?,coming from happy,and peaceful home...km ni hivi na ww utataka umvishe ring mmojawapo wa wasichana wako,km ndoa ya wazazi ilivunjika au wewe ni mtoto wa nje,sitashangaa ukija na remarks km hizo.........................kuwa padre mkuu...🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom