Kuna Raha zaidi ya hii???!!!

Habari za mikesha Bandugu zangu!!!

I hope wote 2me enjoy Xmas, Mimi nilitengwa kidogo na nimpendaye siku hizi 2 then niliamua kutoka na kwenda sehemu 1 ya starehe!!

Wakati nipo pale nikawa najiuliza,wanafurahia nini?? Birthday ya Emma, Pombe, Kwenda kupata tendo la ndoa au ni nini!!!

Lakini mimi naona nili enjoy zaid coz baada ya kula sana nilienda TOILET!!! Duh raha niliyoipata huko nili enjoy sana, Naomba maoni yenu kuna raha zaidi ya hii??!!
unaelekea kubaya sana ndg yangu, Kubafu!!
 
Ngoja niweke mambo hadharani sasa hivi mbona hamjaniuliza huko toilet nilienda kudu wat??!!
Naona wote mawazo yenu yameenda sehemu moja 2!!!
U HAVE 2 THINK IN 3 DIMENSIONS kabla hamjajibu!!!

unaelekea kubaya sana ndg yangu, Kubafu!!
 
Kuna post zingine zinahitaji Jukwaa lake Na Forum zake pia. Here izi noti ze raiti plesi.
 
Heeeeeeee!Huyu jamaa kwa kupenda vitu vibaya simpatii picha hapa sasa ndiyo ananithibitishia!?
 
Utasikia mtu akimshukuru Mungu tena mbele ya waumini kanisani kwa kupata lift au kutodaiwa nauli ya daladala Usimuone njinga au kapungukiwa alikua kwenye hali mbaya!! Raha muulize mwenye shida :hungry: Huyu mwenzetu Eng nampa pongezi kwa kupata raha.... mtu anaye shughulika na matatizo ya watu (afya) amemuelewa vizuri mkandalasi..
 
Back
Top Bottom