Kuna Raha zaidi ya hii???!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna Raha zaidi ya hii???!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eng. Smasher, Dec 27, 2010.

 1. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari za mikesha Bandugu zangu!!!

  I hope wote 2me enjoy Xmas, Mimi nilitengwa kidogo na nimpendaye siku hizi 2 then niliamua kutoka na kwenda sehemu 1 ya starehe!!

  Wakati nipo pale nikawa najiuliza,wanafurahia nini?? Birthday ya Emma, Pombe, Kwenda kupata tendo la ndoa au ni nini!!!

  Lakini mimi naona nili enjoy zaid coz baada ya kula sana nilienda TOILET!!! Duh raha niliyoipata huko nili enjoy sana, Naomba maoni yenu kuna raha zaidi ya hii??!!
   
 2. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  sio muhimu kuandika kila kila kitu hapa, some things are just nonsense pls, sasa unataka upewe maoni gani seriously? raha yako wewe sio raha ya mwenzio u know.
   
 3. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  stupid
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole i see kwa kuhalisha

  Luhalo sio starehe ni taabu tupu kupiga route za toilet
   
 5. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Toa sasa raha yako wewe ni ipi mkuu!!
  Hayo ni maoni 2 kama imekuboa kausha!!!

   
 6. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Huendi toilet shetan??!!

   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ... SHE TAA NIIII .....
  :flock:
   
 8. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #8
  Dec 27, 2010
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  utakuwa ulikuwa constipated before....:teeth::teeth::teeth:
   
 9. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #9
  Dec 27, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  lol....mambo Pauline?
  nimeipenda avatar yako ghafla tu, sijui kwanini?
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Pole kwa kuhalisha

  Kamwene Dr. mapema yawezeka kipindu pindu
   
 11. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  JAmani mi si nilishasema huyo si engneer ye akasema ni eng, sasa ba ngosha na wanawane kweli
  eng can write such stupid and nonsense........... like this ,
  tunaomba uombe msamaha ma GREATHINKER WOTE HAPA JAMVINI ,kwani umetukosea heshima mno wa kike na kiume
   
 12. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #12
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh!! Hiyo sio raha!!
  Raha niliyoipata nadhani unaijua coz kila m2 anaxp nayo!!!

   
 13. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #13
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona hivyo kijana mbona mambo mabaya huwa mnayamwaga yote hadharani leo la kwenda toilet imekuwa issue??!!
  Acha hizo hilo ni jambo DOGO sana, kuhusu mambo ya TIGO hilo ni jema sana kwako???!!!

   
 14. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #14
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Problem mnapenda sana mambo ya kudu,lakini ukichange mada kama hizi kelele kibao!!!

   
 15. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #15
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu ndie malaria sugu au ? vere vere stupid
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha duh kumbe ulikuwa unatoa ile ngumu bora kama sink halikuziba
   
 17. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanambia mie smasher????
   
 18. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,628
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nishafahamu kwanini ulinijibu hivi huenda ikawa fikra zako zilikupelekea kwengine my dear ila hilo neno shetani sikukusudia kuwa wewe ulietuma thread ni shetani,,,, ila nilimjibu shetani one alivyokwambia wewe stupid,,,thats all kama nilikukera i'm sorry,,???
   
 19. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shetani Ibilisi!!

   
 20. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2010
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Usihofu kama nimemjibu shetani kwa ku2mia quote yako!!
  Wala hujakosea dear ila nilikuwa nataka kumwelewesha shetani one!!

   
Loading...