Kuna pre-entry test UDSM?

Nisaidie waliochaguliwa mwaka huu udsm mi natumia simu kaka
Kwenu WanaJf

Kuna Vijana humu wamekuwa wakitoa kejeli kwa wale wote tuliochaguliwa UDSM mwaka huu,yaani kutuonea gere mara selection fake,mara tunaongeza population Dar,mara kuna majina are not admitted lakini yapo kwenye list ya Udsm.

Naomba niseme UDSM sawa na vyuo vingine,muhimu someni huko mlikochaguliwa mpate G.P.A nzuri tukutane katika soko la Ajira.pia kwa sasa uwezekano wa kuajiriwa Tz ni 20%hivyo ni vizuri ukipanga mapema ili ujiajiri.

Nawatakia Mwaka Mwema Wa Masomo.2012/13
 
Tafadhali tuwekeeni majina ya waliochaguliwa udsm,huku vijijini tulipo tunatumia simu na wala sio compyuta hivyo bila msaada wenu hatuwezi kuijua hatima yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom