Hupati mkuu, ila mtumba unapata, na budget ndogo hizi mara mia ukanunue Simu Tigoshop ama Vodashop ambazo zipo subsidized, utapata GB za bure na angalau simu yenye uafadhali.Wakuu nahitaji sim kwa ajili ya mtoto bajeti isizidi 200k, anataka hela akanunue mwenyewe ila mimi sitaki kumpa hela.
Amesema anataka oppo tu isiwe sim nyingine, sasa nauliza naweza pata oppo kwa 200k dukani?
200k mpaka 300k zinachezea bei hioYa bei rahis inaanza bei gn
Kwanini usimshauri achukue Redmi 10cHupati mkuu, ila mtumba unapata, na budget ndogo hizi mara mia ukanunue Simu Tigoshop ama Vodashop ambazo zipo subsidized, utapata GB za bure na angalau simu yenye uafadhali.
Anataka specific OppoKwanini usimshauri achukue Redmi 10c