Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
[/
QUOTE]
There are ten of them
Sura kwenye mti zipo kumi.
Kennedy picha inayoonekana ipo tisa! Ama cjahesabu vizuri nini?
MziziMkavu hebu kuja hapa na majibu.
we kabila gan ndugu hata sihoni
Kennedy picha inayoonekana ipo tisa! Ama cjahesabu vizuri nini?
MziziMkavu hebu kuja hapa na majibu.
Mkuu Liverpool imenibidi nihesabu tena lakini naona kumi
LiverpoolFC, habari. Rafiki tumepotezana. Sisi hatujambo. Sura zipo kumi, kamoja kanaonekana nusu!