Kuna njama ndani ya CHADEMA

Kuna njama ndani ya CHADEMA

Kama ningekuwa mshauri wa Zitto, angeweza kutoka salama katika hili sagga, lakini kwa hawa washauri alionao, ni ndoto ya mchana....Wanamuangamiza maskini Zitto wa watu, nae sasa ashachanganyikiwa hata sijui kama ataweza kuhimili hizi stress.....Namshauri asiwasikilize washauri wake wa zamani
unaandika utumbo halFu unataka uachwe halaf c uende jukwaa la mmalalamiko hp c sehm yk
 
acha ktumika unaongea vitu usivovijua

Sasa kama issue unaijua kwa nini umeileta hii post hapa ilihali unaijua mwanzo mwisho???,Umeipost ili tuijadili au umeipost kama taarifa kwa wana Jf????.
 
Ninamini naikindichoninacho amini mbowe. Slaa wao wanaona kuwa kuvunja sheria ndani ya chama kwa mabavu kuwa kumuondowa zito ndio itakuwa suluhisho ya namini ndani yakundi lambowe bado kutatokeya kutokuwelewana kama hali ya ukandamizaji utaendelea kwenye chama namini kipimo cha mtu au uongozi ni kwenye pesa asanteni 2015 siombali
 
Ninamini naikindichoninacho amini mbowe. Slaa wao wanaona kuwa kuvunja sheria ndani ya chama kwa mabavu kuwa kumuondowa zito ndio itakuwa suluhisho ya namini ndani yakundi lambowe bado kutatokeya kutokuwelewana kama hali ya ukandamizaji utaendelea kwenye chama namini kipimo cha mtu au uongozi ni kwenye pesa asanteni 2015 siombali

chama kikijaa wachaga ni tatz wapo after money
 
My take:
usaliti unaodaiwa kwa mh zzk ni kete tu inayotumiwa na wakuu wa chama ili kumdhoofisha bado naamin kuna sababu nyingine ambayo inagusa maslahi ya wakuu wake na si muda mrefu kila kitu kitakuwa wazi. Mungu atatenda haki na unafiki wao utawekwa wazi

My take:

kwa kuwa umeileta hoja hii kwa malengo mahsusi ambayo bahati nzuri kwetu umeyaonyesha kwenye "my take" yako hasa ulipoanza kuijadili hoja yako ki-nazi, inawezekana "my take" yako imehaririwa lumumba.
siwezi kuwasha kibatari kwa uzembe wa ccm.
 
wamemwaga mboga sasa subiri tuanze kumwaga ugali

nyie viherehere ndio mmemmaliza ZZK,kwamba sasa nyie mnamwaga ugali? cdm wamemwaga mboga na ccm mnamwaga ugali! kweli mmemtumia sana jamaa
 
Wataumbuana mda umefika na kwa taratibu hizi iko siku tutachagua mwenda wazim kwenda ikulu
 
Zitto haheshimu viongozi wa juu yake kisa anawazidi elimu. Hii haikubariki.
 
Once you start thinking about it in a mercenary frame of mind, then you're finished. You're a joke, because there are too many mercenaries out there already.
 
attachment.php

bado nani hapo?
 
Acha kuwaraghai watanzania, kajenga chama mikoa ya wapi, mbona kwake kumemshinda, waeleze watanzania ukweli, mkoa wa Kigoma una wabunge wangapi, na je? Jimbo analoongoza Zitto lina madiwani wangapi, tuache unafiki.
 
Acha kuwaraghai watanzania, kajenga chama mikoa ya wapi, mbona kwake kumemshinda, waeleze watanzania ukweli, mkoa wa Kigoma una wabunge wangapi wa chdema, na je? Jimbo analoongoza Zitto lina madiwani wangapi wa chadema, tuache unafiki.
 
Zitto haheshimu viongozi wa juu yake kisa anawazidi elimu. Hii haikubariki.


Elimu yenyewe aliyonayo elimu? au basi tu? Kuna watu wamesoma bwana na wameelimika, sio hawa wanaojikweza na mivyeti yao wakati hawajaelimika...

Elimu isiowasaidia watu sio elimu, ni kuhudhuria darasa tu...
 
Back
Top Bottom