Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,291
- 51,724
Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
Zitaje ulizoziona tukuambie wapi kwakuziona zilizobaki
Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
Hata hivyo,kwa mujibu wa maelezo yake,naye ametua usiku lakini hakuona pilikapilika za ndege kubwa isipokuwa aliona moja tu.Ameuliza;Kunani?International flights nyingi sasa hivi zinatua na kupaa usiku
Tunatumia "teleporting system" siku hizi mkuu!Huwezi kuona kitu.Tunasafiri kwa njia ya umeme kama vile unavyotuma sms kwenye simu.Hahahahaaaa! Jus kidding!Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
Inasonga mbele au inasonga ugali?NA NYINGINE IKO KATIKA HATUA ZA MWISHO.....TANZANIA INASONGA MBELE
View attachment 945387
Namaanisha usiku mkubwa,kuanzia saa sitaHata hivyo,kwa mujibu wa maelezo yake,naye ametua usiku lakini hakuona pilikapilika za ndege kubwa isipokuwa aliona moja tu.Ameuliza;Kunani?
Na ndiyo muda aliowasili hapo uwanjani.Sasa mpe majibu aridhike;Kwa nini hakuna pilikapilika za ndege kubwa kama ilivyozoeleka?Usipige chenga,muelekeze.Namaanisha usiku mkubwa,kuanzia saa sita
Kafungua uzi ilikua haijafika saa sitaNa ndiyo muda aliowasili hapo uwanjani.Sasa mpe majibu aridhike;Kwa nini hakuna pilikapilika za ndege kubwa kama ilivyozoeleka?Usipige chenga,muelekeze.
Kafungua uzi ilikua haijafika saa sita
Kauliza swali na mi nikampatia jibu nikijua ana nia ya kujua
Mashirika ya ndege mengi tu bado yanatua kama kawaida,sasa kama mna mengine mnayotafuta endeleeni,sipo kwenye siasa zenu hizo
Dah naona safari bado ni ndefu mno mkuu,ila tutafika tuNdio vipaumbele vyetu hivyo, Mkuu! Kuangalia ni ndege ngapi zinaruka na kutua hapo airport! [emoji1][emoji1]
Ndege nyingi huwa zinaelekea kaskazini, Nairobi, Addis, Dubai, China, Doha nk huwa zinapita anga ya sinza. Niko sinza cjaona kitu. Labda kuna mabadiliko ya route kutokana na usalama. Ndio maana naomba kueleweshwa
Bofya hizo links chini Zone unachokifikiria.Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar
Wanasubiri Kwanza hadi Ndege zetu zote ziwasili, tuzipigie makofi, tuzikenulie mimeno yetu, tuzipande kwa majaribio huku ' tukizijambia ' kuanzia ' First Class ' hadi ' Economy Class ' ili zianze kutuzoea Watanzania na ' Uswahili ' wetu uliotukuka wa Kupenda ' Kujambia ' vitu vipya vipya, halafu zifuate Hotuba za Kusifia na Majungu tumalize na kupiga nazo Picha kuanzia tukiwa kule katika ' Cockpit ' tumeshika Usukani hadi chini ndipo Ndege zingine zote zianze Kutua na kuendelea na utaratibu wao zoeleka.
Ni ndege zipi unataka kuziona maana mashirika yote yaliyokuwa wakati wa JK bado yapo na sidhani kama yamepunguza ujaji wao.Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar
Saa kumi mpaka muda huo saa tano usiku unafanya nini airport?Naulizia frequency ya kupaa na kutua. Nimekaa tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeona ndege mbili tu angani. Siyo kawaida
Kuna ujenzi unaendelea wa upanuzi wa uwanja hivyo ndege kubwa zinashukia kia .Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar