Kuna nini uwanja wa ndege wa Dar?

Kuna nini uwanja wa ndege wa Dar?

Vipaumbele vya taifa ni Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station, Reli, ununuzi wa ndege na wanasiasa wa
upinzani vyengine baadae mkuu
Umesahau choroko au koroso [emoji648]
 
Kafungua uzi ilikua haijafika saa sita

Kauliza swali na mi nikampatia jibu nikijua ana nia ya kujua

Mashirika ya ndege mengi tu bado yanatua kama kawaida,sasa kama mna mengine mnayotafuta endeleeni,sipo kwenye siasa zenu hizo

Tameer kitu ambacho nimejifunza humu JF ni kwamba watu wengi wakiwa hawajui habari au jambo fulani, huanzisha nyuzi na kuponda/kukejeli kuhusu hilo jambo, wakijua kabisa kuwa watapata majibu ya hoja zao.
Hii ni mentality yetu wabongo wengi na tunasahau kwamba ujinga ni sehemu ya maisha halafu kuuliza si ujinga hata wahenga walisema hilo.
Anyway, mpe hiyo link ajionee mindege inayoingia na kusepa bongo. Nimepaste just for departures tu, but arrivals pia anaweza kuona.
(DAR Departures) Julius Nyerere International Airport Departures

Ndio Tz yetu hii, tufundishane hivi hivi tu
 
Hivi drimliner yetu uwa wanaipashapasha kidogo? Naona kama imehatamia mayai pale JNIA
 
Tameer kitu ambacho nimejifunza humu JF ni kwamba watu wengi wakiwa hawajui habari au jambo fulani, huanzisha nyuzi na kuponda/kukejeli kuhusu hilo jambo, wakijua kabisa kuwa watapata majibu ya hoja zao.
Hii ni mentality yetu wabongo wengi na tunasahau kwamba ujinga ni sehemu ya maisha halafu kuuliza si ujinga hata wahenga walisema hilo.
Anyway, mpe hiyo link ajionee mindege inayoingia na kusepa bongo. Nimepaste just for departures tu, but arrivals pia anaweza kuona.
(DAR Departures) Julius Nyerere International Airport Departures

Ndio Tz yetu hii, tufundishane hivi hivi tu
Unajua wengi wanakurupuka tu kwa sababu hawajui kuwa ulimwengu wa leo kila kitu kiko online. Wakifanikiwa kidogo kuviona vitu vingine mara ya kwanza basi wanategemea kwamba wengine wote hawaelewi kitu, ni wao tu. Huo sisi kwetu uswahilini tunauita ulimbukeni.
 
Wadau nimeingia dar kwa Mara ya kwanza tangu July Mwaka huu, nimezoea kuona madege makubwa yakipaa angani na kutua, tangu saa kumi hadi sasa ivi nimeshuhudia ndege moja tu angani, kuna mabadiliko gani? Kwa anayejua anijuze, ingependeza mwenye data vzr akatufafanulia. Kwangu mm haya ni maajabu kwa zaidi ya miaka 20 nilipoijua dar
mkuu tunasubiri A220 iko karibu kuja.....
 
Back
Top Bottom