Kinachonishangaza ni kwamba, kwa nini mjipangie deadline kama hamtoweza kuifuata mwishoni? Kwanza walisema 6th June, 13th June, 1st week of July na sasa 4th August. Deadline zote zimewapita ... Na sasa 2nd round ya applications zimeanza kwa wale ambao hawakuchaguliwa (au ambao hawaku apply kabisa mara ya kwanza), swali langu ni hivi ... tutajuaje kwamba hatujachaguliwa ili tu apply tena kama hamtotoa matokeo?!
They are the most unreasonable/incompetent people around!